Mbowe: Waliokimbia CHADEMA watarudi, tutawasamehe dhambi zao

Sometime Mbowe huwa simuelewagi ni mpinzani wa aina Gani?
Hii nchi tunachezewa sana.
Ila Saiz raia wengi akili zilishaPevuka
Yaani na mie nilivyooona tu heading ya hii thread waz namba moja nikakumbuka maneno ya Pascal Mayalla kuwa uongozi wa Chadema unawahadaa wanachama wao na wanajua kila kitu kuhusu Covid 19 na WATAWASAMEHE KWA 100%, tayari dalili ndio hizi zimeanza ngoja tuone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom