Mbowe wa mwaka 2021 amkana Mbowe wa mwaka 2020 kuhusu lockdown

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Mbowe akiongea na wanahabari mwaka 2021 aliipinga serikali akisisitiza kuwa njia sahihi ya kujikinda na corona ni social distancing na lockdown lakini huyu wa juzi (mwaka 2021) anakana anasema hakumaanisha hivyo.

Teknolojia hatari sana

Ndugu zangu,

Mbowe akiongea na wanahabari mwaka 2021 aliipinga serikali akisisitiza kuwa njia sahihi ya kujikinda na corona ni social distancing na lockdown lakini huyu mwa juzi (mwaka 2021) anakana anasema hakumaanisha hivyo.

Teknolojia hatari sana

View attachment 1750932
Naona kaja na English ya Breaking the circle of Human interaction nimekuta kijana mmoja ofisi za Chadema anawambia Mwenyekiti wao Mbowe ametoka Ulaya anatema Ngeli balaa.niliomba kimoyomoyo Mungu kwann umeyaruhusu haya John kututoka!!!
 
Ndugu zangu,

Mbowe akiongea na wanahabari mwaka 2021 aliipinga serikali akisisitiza kuwa njia sahihi ya kujikinda na corona ni social distancing na lockdown lakini huyu mwa juzi (mwaka 2021) anakana anasema hakumaanisha hivyo.

Teknolojia hatari sana

View attachment 1750932

Ndugu zangu,

Mbowe akiongea na wanahabari mwaka 2021 aliipinga serikali akisisitiza kuwa njia sahihi ya kujikinda na corona ni social distancing na lockdown lakini huyu mwa juzi (mwaka 2021) anakana anasema hakumaanisha hivyo.

Teknolojia hatari sana

View attachment 1750932
Naona kaja na English ya Breaking the circle of Human interaction nimekuta kijana mmoja ofisi za Chadema anawambia Mwenyekiti wao Mbowe ametoka Ulaya anatema Ngeli balaa.niliomba kimoyomoyo Mungu kwann umeyaruhusu haya John kututoka
 
Back
Top Bottom