sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,488
Dr. Slaa ndiye aliyekuwa na uthubutu wa kutoa orodha ya mafisadi 11 akiwemo Lowasa pale Jangwani, wewe Mbowe unajaribu kuiga kwa kusema majipu makubwa ni Mkapa sijui na Sefue, yaani unapwaya kwenye hilo igizo lako.
Nadhani ungeendeleza ile list ya Dr Slaa mliyomtuma wakati ule.
Nadhani ungeendeleza ile list ya Dr Slaa mliyomtuma wakati ule.