Mbowe v/s Lukuvi on you-tube

​Nadhani kauli ya Nape polisi wanawez kuanzia kwake maana inaonekana anajua kilichojiri. Amwage ushahidi tu sisi tutaiamini CCM kama enzi za Nyerere
 
Bilal: Tutajitahidi kadri ya uwezo wetu kuhakikisha tunawapata wale wote waliohusika.. Inaweza kuchukua siku moja, mbili, tatu, mwezi, mwaka hata miaka miwili au mitatu...

Hii kauli ni ya Kipuuzi, inatupa picha wananchi kuwa itatulazimu kusubiri sana kabla ukweli haujawekwa wazi. Au unaweza usiwekwe wazi milele... Sad to say!!
 
​Nadhani kauli ya Nape polisi wanawez kuanzia kwake maana inaonekana anajua kilichojiri. Amwage ushahidi tu sisi tutaiamini CCM kama enzi za Nyerere
nape na mwigilu hawawezi kukamatwa na police sababu wao ndiyo serikali kama ulikuwa hujui - cha msingi CDM ni kumtegemea mungu tu kwani ndiye hakimu wa haki.
 
Rais anasea hiki,Lukuvi anasema kile, Nepi anasema hicho!
Ndugu zangu, hamjashangaa kwa nini MWIGULU NCHEMBA yuko kimya????????!
Aliwaambia Arusha msipoikubali CCM, MTAKUFA "TU"!
TAFAKARI!
 
​Nadhani kauli ya Nape polisi wanawez kuanzia kwake maana inaonekana anajua kilichojiri. Amwage ushahidi tu sisi tutaiamini CCM kama enzi za Nyerere

Jamani huyu Nape amefuzu katika uropokaji na wala hafikirii aftermath ya huku kuropoka kwake.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom