Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,173
27,223
Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao.

Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta.

Hadi haoaa itoshe kusema chadema ni chama ambacho hakipo makini, ni vipi unaweza kumpangia Raisi ratiba zake?

Kama sasa hivi kabanwa atakutanaje na nyie? Mbowe ameenda mbali na kumtisha Rais eti ipo siku atatutafuta. Asipokutafuta utamfanya nini?

Walio karibu na mwenyekiti wampumzishe kidogo maana ni Kama Kuna kitu hakipo sawa kwenye medula.

#mamasamia kanyaga twende# kazi iendelee#

Screenshot_20210609-154251_1.jpg
Screenshot_20210609-154448_1.jpg
 
View attachment 1813320View attachment 1813322
1623244438764.png
hii ndiyo inamsumbua mbowe huwezi kuwa kiongozi makini huku umezidisha hii kitu aachie wenzie waongoze chama kitamfia mikononi mwake unampangia RAIS?
 
View attachment 1813353hii ndiyo inamsumbua mbowe huwezi kuwa kiongozi makini huku umezidisha hii kitu aachie wenzie waongoze chama kitamfia mikononi mwake unampangia RAIS?
Tokea mmeanza kusema CHADEMA itakufa nyie ndio mnakufa kama kuku wenye kideri.

CHADEMA itadumu milele. Wewe utakufa mapema sana kabla ya chama cha wapenda haki na demokrasia.
 
Ye ni nan ampangie Rais wetu Ratiba yake?..
Wamemuomba Mama kakubali watulie sasa Mbona hata mikutano wanafanya wanazunguka mama Hajawazuia hawaon utofaut wa Rais wetu mpendwa ulivyo?...
 
Hoja ya msingi ni kukutana na viongozi wa upunzani kujadili masuala ya muhimu kwa mustakabali mzima wa maendeleo ya watu na demokrasia nchini.

Wewe kwa kuwa una akili za kushikiwa huwezi kutambua hoja hizo.
Kwani haraka ya nini? Soli asuburi ataitwa
 
Tokea mmeanza kusema CHADEMA itakufa nyie ndio mnakufa kama kuku wenye kideri.

CHADEMA itadumu milele. Wewe utakufa mapema sana kabla ya chama cha wapenda haki na demokrasia.
DEMOCRASIA GANI MNAYOIHUBIRI NYIE WAKATI MADARAKA ANALAZIMISHA MTU MMPOJA TU AWE MWENYEKITI INAMAANA CHAMA HAKINA HAZINA YA VIONGOZI? HUO NDIYO UVUNJAJI WA DEMOCRASIA KWAHIYO CHAMA CHENU SIYO CHA KIDEMOCRASIA NI GENGE LA UHALIFU
 
Back
Top Bottom