Nimesoma mitandao ya Kijamii na Magazeti ya leo 14/11/2017 kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA , freeman Aikaeli Mbowe akiwa kwenye Kampeni za uchaguzi mdogo wa Madiwani Mkoani Mtwara.
Mbowe amenukuliwa na vyombo vya habari akimshambulia Mwenyekiti wa CUF, prof. Ibrahim Harouna Lipumba kuwa anatilia shaka Elimu yake ya U-Profesa kwa mada ya kile alichokiita anaua chama cha CUF.
Napenda kumtahadharisha Mbowe, Siasa itabaki kuwa siasa na U-Profesa wa Lipumba atabaki nao milele.
Mbowe anapaswa kutambua kuwa yeye na elinu yake isiyoelezeka kuwaongoza akina Profesa Mwesiga Baregu, Profesa Abdallah Safari na wengine wengi basi U-Profesa wao ni wa mashaka, la hasha! Siasa inafannywa na mtu yeyote yule na ndiyo maans huko kuna Ma-Prof, Darasa la Saba, Kidato cha nne, Kidato cha Sita waliofeli kama yeye n. K.
Hakuna lugha nzuri ya kuiita Siasa zaidi ya 'siasa nii porojo'. Mbowe akitaka kujua prof. Atabaki kuwa Prof, leo siasa zifutwe, aone kama atafanya kazi zinazofanywa na Ma-Prof duniani. Narudia Mbowe anajidanganya.
Mbowe alitumia mkutano huo pia kusema kuwa CHADEMA haiwezi kufa labda afe yeye. Haya ndiyo maneno halisi ya wanasiasa ambao hawna shule kichwani, tafsiri ya hii kauli ni kwamba Chadema ni Mbowe na Mbowe ndiyo CHADEMA.
Hii ni aibu kwa chama cha siasa ambacho kinapaswa kuwa taasisi. Kauli hii iwe ni somo kwa wanachama na wapenzi wote wa CHADEMA. Ni kauli ya kutafakari maana lolote litakalofanyika kinyume cha mawazo yake litakuwa ninkutaka kuua Chama na sasa napata jibu la wapi ziliishia kauli za Katibu MkuuMashinji na Mjumbe wa Kamati Kuu, Edward Lowassa kuwa Chadema wanapaswa kuachana na Siasa za Kiharakati.
Ogopa sana Mwanasiasa asiye na shule wakati huohuo ni mwenye kujiona Mungu mtu. Ni hatari sana. Poleni sana Prof. Baregu, Prof. Safari, Tundu Lissu, Dr. Mashinji na wengine. Msithubutu kukiua Chama mtakiona cha moto.
Swali kwa Maprof. wa CHADEMA, hizo kauli mbili za Mwenyekiti wenu mmezitafakari? Au mnaogopa kuhoji msije mkaonekana mnataka kuua Chama?