Mbowe unajidanganya, profesa atabaki kuwa profesa. Hakuna uhusiano wote kati siasa na unachotaka kutuaminisha

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Nimesoma mitandao ya Kijamii na Magazeti ya leo 14/11/2017 kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA , freeman Aikaeli Mbowe akiwa kwenye Kampeni za uchaguzi mdogo wa Madiwani Mkoani Mtwara.

Mbowe amenukuliwa na vyombo vya habari akimshambulia Mwenyekiti wa CUF, prof. Ibrahim Harouna Lipumba kuwa anatilia shaka Elimu yake ya U-Profesa kwa mada ya kile alichokiita anaua chama cha CUF.

Napenda kumtahadharisha Mbowe, Siasa itabaki kuwa siasa na U-Profesa wa Lipumba atabaki nao milele.

Mbowe anapaswa kutambua kuwa yeye na elinu yake isiyoelezeka kuwaongoza akina Profesa Mwesiga Baregu, Profesa Abdallah Safari na wengine wengi basi U-Profesa wao ni wa mashaka, la hasha! Siasa inafannywa na mtu yeyote yule na ndiyo maans huko kuna Ma-Prof, Darasa la Saba, Kidato cha nne, Kidato cha Sita waliofeli kama yeye n. K.

Hakuna lugha nzuri ya kuiita Siasa zaidi ya 'siasa nii porojo'. Mbowe akitaka kujua prof. Atabaki kuwa Prof, leo siasa zifutwe, aone kama atafanya kazi zinazofanywa na Ma-Prof duniani. Narudia Mbowe anajidanganya.

Mbowe alitumia mkutano huo pia kusema kuwa CHADEMA haiwezi kufa labda afe yeye. Haya ndiyo maneno halisi ya wanasiasa ambao hawna shule kichwani, tafsiri ya hii kauli ni kwamba Chadema ni Mbowe na Mbowe ndiyo CHADEMA.

Hii ni aibu kwa chama cha siasa ambacho kinapaswa kuwa taasisi. Kauli hii iwe ni somo kwa wanachama na wapenzi wote wa CHADEMA. Ni kauli ya kutafakari maana lolote litakalofanyika kinyume cha mawazo yake litakuwa ninkutaka kuua Chama na sasa napata jibu la wapi ziliishia kauli za Katibu MkuuMashinji na Mjumbe wa Kamati Kuu, Edward Lowassa kuwa Chadema wanapaswa kuachana na Siasa za Kiharakati.

Ogopa sana Mwanasiasa asiye na shule wakati huohuo ni mwenye kujiona Mungu mtu. Ni hatari sana. Poleni sana Prof. Baregu, Prof. Safari, Tundu Lissu, Dr. Mashinji na wengine. Msithubutu kukiua Chama mtakiona cha moto.
Swali kwa Maprof. wa CHADEMA, hizo kauli mbili za Mwenyekiti wenu mmezitafakari? Au mnaogopa kuhoji msije mkaonekana mnataka kuua Chama?
 
Nimesoma mitandao ya Kijamii na Magazeti ya leo 14/11/2017 kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA , freeman Aikaeli Mbowe akiwa kwenye Kampeni za uchaguzi mdogo wa Madiwani Mkoani Mtwara. Mbowe amenukuliwa na vyombo vya habari akimshambulia Mwenyekiti wa CUF, prof. Ibrahim Harouna Lipumba kuwa anatilia shaka Elimu yake ya U-Profesa kwa mada ya kile alichokiita anaua chama cha CUF.

Mbowe anapaswa kutambua kuwa yeye na elinu yake isiyoelezeka kuwaongoza akina Profesa Mwesiga Baregu, Profesa Abdallah Safari na wengine wengi basi U-Profesa wao ni wa mashaka, la hasha! Siasa inafannywa na mtu yeyote yule na ndiyo maans huko kuna Ma-Prof, Darasa la Saba, Kidato cha nne, Kidato cha Sita waliofeli kama yeye n. K. Hakuna lugha nzuri ya kuiita Siasa zaidi ya 'siasa nii porojo'. Mbowe akitaka kujua prof. Atabaki kuwa Prof, leo siasa zifutwe, aone kama atafanya kazi zinazofanywa na Ma-Prof duniani. Narudia Mbowe anajidanganya.
Mbowe alitumia mkutano huo pia kusema kuwa CHADEMA haiwezi kufa labda afe yeye. Haya ndiyo maneno halisi ya wanasiasa ambao hawna shule kichwani, tafsiri ya hii kauli ni kwamba Chadema ni Mbowe na Mbowe ndiyo CHADEMA. hii ni aibu kwa chama cha siasa ambacho kinapaswa kuwa taasisi. Kauli hii iwe ni somo kwa wanachama na wapenzi wote wa CHADEMA. Ni kauli ya kutafakari maana lolote litakalofanyika kinyume cha mawazo yake litakuwa ninkutaka kuua Chama na sasa napata jibu la wapi ziliishia kauli za Katibu MkuuMashinji na Mjumbe wa Kamati Kuu, Edward Lowassa kuwa Chadema wanapaswa kuachana na Siasa za Kiharakati.

Uprof wa Lipumba umemsaidiaje yeye mwenyewe kiuchumi? Uzi wako una miheuko ya kiccm . Hebu nielezee vitega uchumi alivyokuwa navyo mchumi wako. Prf ushwara.
 
Naomba uwape pole Prof Maghembe na Prof Muhongo kwa kufukuzwa kazi na "mature age" student. BTW msikitikie na huyo Propesa Lipumba kwa kulipwa na huyo "student" kwa kufanya ayafanyayo.
 
Una msongo wa mawazo kwani usemi wa mbowe ni tungo tata ina majibu ya tafasiri nyingi,amesema chadema haiwezi kufa labda afe yeye!!! Mfano 1. Mbowe anaweza akafa lakini chadema hawez kufa,2.Ili chadema ife lazima kwanza Mbowe atangulie mbele za haki.3.Mbowe anaweza akafa lakni siyo chadema.Kwa hyo mkuu hata tafisiri yako iko sawa lakini kwanza uwe unafikri kwanza au ya tungo iliyotolewa
 
"...ogopa mwanasiasa asiye Na shule anaye jiona mungumtu"
Naam maneno kuntu,lakini yanamuhusu Yule ambaye ukihoji uhalali wa PhD yake unapotezwa hata mifupa yako haitaonekana milele
Wa kuogopwa yule aliye Na hofu kubwa kuumbuliwa uboya wake na yupo radhi kutuma watu kuuwa ili kumlinda
 
Una msongo wa mawazo kwani usemi wa mbowe ni tungo tata ina majibu ya tafasiri nyingi,amesema chadema haiwezi kufa labda afe yeye!!! Mfano 1. Mbowe anaweza akafa lakini chadema hawez kufa,2.Ili chadema ife lazima kwanza Mbowe atangulie mbele za haki.3.Mbowe anaweza akafa lakni siyo chadema.Kwa hyo mkuu hata tafisiri yako iko sawa lakini kwanza uwe unafikri kwanza au ya tungo iliyotolewa
Usilazimishe maana. Kubali tu Mh Mbowe ulimi ulipotoka hakuna utata hapo. Kwani yeye akifa Chadema si itabaki? Nani alimfahamu Mbowe kama mwanasiasa wakati Chadema ikiongozwa na mkwewe? Ungesema utata unakuja kwa maana ya pili kuwa Chadema ni kama DP ni chama na mali ya familia ya Mzee Mtei
 
Nimesoma mitandao ya Kijamii na Magazeti ya leo 14/11/2017 kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA , freeman Aikaeli Mbowe akiwa kwenye Kampeni za uchaguzi mdogo wa Madiwani Mkoani Mtwara.

Mbowe amenukuliwa na vyombo vya habari akimshambulia Mwenyekiti wa CUF, prof. Ibrahim Harouna Lipumba kuwa anatilia shaka Elimu yake ya U-Profesa kwa mada ya kile alichokiita anaua chama cha CUF.

Napenda kumtahadharisha Mbowe, Siasa itabaki kuwa siasa na U-Profesa wa Lipumba atabaki nao milele.

Mbowe anapaswa kutambua kuwa yeye na elinu yake isiyoelezeka kuwaongoza akina Profesa Mwesiga Baregu, Profesa Abdallah Safari na wengine wengi basi U-Profesa wao ni wa mashaka, la hasha! Siasa inafannywa na mtu yeyote yule na ndiyo maans huko kuna Ma-Prof, Darasa la Saba, Kidato cha nne, Kidato cha Sita waliofeli kama yeye n. K.

Hakuna lugha nzuri ya kuiita Siasa zaidi ya 'siasa nii porojo'. Mbowe akitaka kujua prof. Atabaki kuwa Prof, leo siasa zifutwe, aone kama atafanya kazi zinazofanywa na Ma-Prof duniani. Narudia Mbowe anajidanganya.

Mbowe alitumia mkutano huo pia kusema kuwa CHADEMA haiwezi kufa labda afe yeye. Haya ndiyo maneno halisi ya wanasiasa ambao hawna shule kichwani, tafsiri ya hii kauli ni kwamba Chadema ni Mbowe na Mbowe ndiyo CHADEMA.

Hii ni aibu kwa chama cha siasa ambacho kinapaswa kuwa taasisi. Kauli hii iwe ni somo kwa wanachama na wapenzi wote wa CHADEMA. Ni kauli ya kutafakari maana lolote litakalofanyika kinyume cha mawazo yake litakuwa ninkutaka kuua Chama na sasa napata jibu la wapi ziliishia kauli za Katibu MkuuMashinji na Mjumbe wa Kamati Kuu, Edward Lowassa kuwa Chadema wanapaswa kuachana na Siasa za Kiharakati.

Ogopa sana Mwanasiasa asiye na shule wakati huohuo ni mwenye kujiona Mungu mtu. Ni hatari sana. Poleni sana Prof. Baregu, Prof. Safari, Tundu Lissu, Dr. Mashinji na wengine. Msithubutu kukiua Chama mtakiona cha moto.
Swali kwa Maprof. wa CHADEMA, hizo kauli mbili za Mwenyekiti wenu mmezitafakari? Au mnaogopa kuhoji msije mkaonekana mnataka kuua Chama?
Kama Bashite au.
 
Usilazimishe maana. Kubali tu Mh Mbowe ulimi ulipotoka hakuna utata hapo. Kwani yeye akifa Chadema si itabaki? Nani alimfahamu Mbowe kama mwanasiasa wakati Chadema ikiongozwa na mkwewe? Ungesema utata unakuja kwa maana ya pili kuwa Chadema ni kama DP ni chama na mali ya familia ya Mzee Mtei
Nawe kubali usilazimishe watu wa mwanza wasibomoleshewe nyumba zao maana walitupa kura,Mimi nasema hakupotoka lakn alitania kama Nape alivyosema pindi anahojia na DW hata Mbowe anatania naye hawezi kufa kabla ya chadema
 
Mtoa mada kumbuka hata Dr. Luis Shika pia ni msomi, tena nasikia ni specialist wa magonjwa ya moyo japo hajawahi kufanya practices. Unaweza kuwa msomi wa kiwango cha Prof lakini, kichwani kumejaaa madudu as if ni comedian. Mbowe anazungumzia comedy anazoleta yule Prof wa Buguruni, suala ambalo lipo wazi na juzi hapa mahakama kuu imethibitisha ubwege wake juu ya wabunge wa CUF aliowatimua.
 
Nawe kubali usilazimishe watu wa mwanza wasibomoleshewe nyumba zao maana walitupa kura,Mimi nasema hakupotoka lakn alitania kama Nape alivyosema pindi anahojia na DW hata Mbowe anatania naye hawezi kufa kabla ya chadema
Tunamzungumzia Mbowe ama mtu mwingine. Lini mbowe alikua mwanza? Hivi kwanini mnashindwa kutetea hoja zetu kama GT na kukimbilia hoja nyingine? Kweli mapenzi ya vyama ni ugonjwa mkubwa hawajakosea wanaowafananisha na misukule
 
Usilazimishe maana. Kubali tu Mh Mbowe ulimi ulipotoka hakuna utata hapo. Kwani yeye akifa Chadema si itabaki? Nani alimfahamu Mbowe kama mwanasiasa wakati Chadema ikiongozwa na mkwewe? Ungesema utata unakuja kwa maana ya pili kuwa Chadema ni kama DP ni chama na mali ya familia ya Mzee Mtei

Unajua mwenyekiti wa kwanza wa BAVICHA alikuwa nani?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom