Mbowe Umehusika kwa kiasi kikubwa kufutika kwa CHADEMA nchini

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Wakuu chama kilichokua kinatishia hata Chama cha Mapinduzi (Baba lao) kimepoteza sana Mvuto na Kuanza Kufutika taaratibu Kutokana na Makosa ya Kiufundi yanoyafanywa na Chama hicho kilichojaa Watu waoga Taangu kuondoka kwa Dr. Slaa (Bingwa Siasa nchini).

Makosa ya Mbowe yanaonekana Wazi kufifisha Chama na Watu wamepoteza Imani na Chama kilichokua kimekua mioyoni Mwa wananchi. Mambo yaliyosababisha Chadema Kupauka ni

-Kuanzisha Operation Bila kuzitekeleza, Mitaani Inaonekana Chadema ni Batch of Cowards Kumbuka Operation Ukuta, Na Operation Kata Funua zote ziligonga Mwamba na Sasa Chadema ni Kikundi cha watu waoga.

-Kumchagua Anonymous politician kuwa Karibu Mkuu Kimsingi Mbowe ana impact kubwa sana katika siasa za Chadema hivyo kamtafuta Katibu Mkuu ambaye hana Makali, Muoga, asiyejua Siasa na Mkimya. Sote ni Shahidi Dr Slaa akipanga Kitu alikua kapanga hakuna kurudi Nyuma na Misimamo ile alikutana na Vipigo vya Polisi Mara nyingi na Ndo kilikua kinaimarisha Chama.

-Kubaki na Hoja Dhaifu, Chadema kwa sasa Wamebaki na Hoja Dhaifu hasa ya Kudai Cheti cha Msomi wa Chuo Kikuu ndugu Paul Makonda kwa Kufuata Uvumi wa Mitandaoni.

Chadema wameshindwa Kusahihisha Makosa yao huko Vijijini waliokua wanakosa Kula hadi sasa hawajafanya Chochote kitakachowasaidia kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2020.

Mwisho, Nawashauri Chadema mfate Utaratibu wa Kidemokrasia mbadilishe mwenyekiti wenu ili chama kisiendelee Kufa.
 
Mtoa post ungeenda kuwashauri magamba wenzio huko
 
kama kupoteza imani ni kwa huku ccm kushindwa kwenye majiji karibu yote na majimbo yote ya mjini basi waache watz waendelee kupoteza imani na chadema ili ccm ishinde 2020
 
Naona unamsifia Mbowe bila kujua kwani huyo Dr Slaa aliwekwa na Mbowe na alijenga chama kwa siasa za kiharakati na za kujijenga mwenyewe , Mashinji naye anafaa kwa siasa za sasa.
 
Wakuu chama kilichokua kinatishia hata Chama cha Mapinduzi (Baba lao) kimepoteza sana Mvuto na Kuanza Kufutika taaratibu Kutokana na Makosa ya Kiufundi yanoyafanywa na Chama hicho kilichojaa Watu waoga Taangu kuondoka kwa Dr. Slaa (Bingwa Siasa nchini).

Makosa ya Mbowe yanaonekana Wazi kufifisha Chama na Watu wamepoteza Imani na Chama kilichokua kimekua mioyoni Mwa wananchi. Mambo yaliyosababisha Chadema Kupauka ni

-Kuanzisha Operation Bila kuzitekeleza, Mitaani Inaonekana Chadema ni Batch of Cowards Kumbuka Operation Ukuta, Na Operation Kata Funua zote ziligonga Mwamba na Sasa Chadema ni Kikundi cha watu waoga.

-Kumchagua Anonymous politician kuwa Karibu Mkuu Kimsingi Mbowe ana impact kubwa sana katika siasa za Chadema hivyo kamtafuta Katibu Mkuu ambaye hana Makali, Muoga, asiyejua Siasa na Mkimya. Sote ni Shahidi Dr Slaa akipanga Kitu alikua kapanga hakuna kurudi Nyuma na Misimamo ile alikutana na Vipigo vya Polisi Mara nyingi na Ndo kilikua kinaimarisha Chama.

-Kubaki na Hoja Dhaifu, Chadema kwa sasa Wamebaki na Hoja Dhaifu hasa ya Kudai Cheti cha Msomi wa Chuo Kikuu ndugu Paul Makonda kwa Kufuata Uvumi wa Mitandaoni.

Chadema wameshindwa Kusahihisha Makosa yao huko Vijijini waliokua wanakosa Kula hadi sasa hawajafanya Chochote kitakachowasaidia kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2020.

Mwisho, Nawashauri Chadema mfate Utaratibu wa Kidemokrasia mbadilishe mwenyekiti wenu ili chama kisiendelee Kufa.
kweli copy and paste sera za chadema zina tekelezeka
 
Mleta mada uko byeeeee. Baada ya kuondoka Slaa chama kimepoteza mwelekeo kabsa. Tatzo kubwa cdm n maslah bnafs ya Mbowe kakifanya chama mali yake bnafs. Anaweka viongozi kila mahali ili kulinda matakwa yake bnafs. Hashaurik yy ni mungu mtu wa chama. Chama cha mfalme na ukoo wake tuuu. Kuna watu walijaribu kuleta mabadlko weeeeeee, mnawaoa Leo ndani ya chama? Hk chama kitaludi kwenye chati iwapo tu Mbowe akiacha ufalme wake. Haina haja ya kutukanana kubaln kushauliwa na kukosolewa na sina chuki bnafs na Mbowe ila nataka mabaslko yakiwemo kuacha ukanda.
 
Back
Top Bottom