Mbowe ukiachiwa uache Vurugu pia achana na njama za Ugaidi heshimu Mamlaka ya Rais. Ninaamini Rais Samia atasikia kilio cha Zitto kabwe

Baada ya Ombi la Zitto Kabwe kwa Rais Samia naamini Rais Samia ni mtu muungwana na mcha Mungu atasikia na kusaidia kuachia na Freman Mbowe kiongozi wa Upinzani Tanzania.

Tukumbuke kuwa Mbowe amekamatwa kwa makosabya Ugaidi hi makosa hatari sana kwa Usalama wa Taifa.

Nawakumbusha Chadema kuwa Mbowe akiachwa muache vurugu.
Pia acheni mipango ya kulipa kisasi na Ugaidi.
Rais Samia hajawafanyia jambo lolote baya hivyo mumuheshimu.
Fanyeni siasa za ustaarabu na kuheshimu mipaka yenu.
Rais Samia ni mcha Mungu na ni mtu wa watu hakika atasikia ombi la Zitto Kabwe anaewakilisha wapinzani.
Chadema acheni uadui na Rais Samia.

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Mshauri hangaya aache vurugu na uongo.

Kesi ina washitakiwa saba, hakuna aliyehukumiwa, sasa yeye kayatoa wapi ya waliofungwa kwa hukumu ya kesi hii.
 
Baada ya Ombi la Zitto Kabwe kwa Rais Samia naamini Rais Samia ni mtu muungwana na mcha Mungu atasikia na kusaidia kuachia na Freman Mbowe kiongozi wa Upinzani Tanzania.

Tukumbuke kuwa Mbowe amekamatwa kwa makosabya Ugaidi hi makosa hatari sana kwa Usalama wa Taifa.

Nawakumbusha Chadema kuwa Mbowe akiachwa muache vurugu.
Pia acheni mipango ya kulipa kisasi na Ugaidi.
Rais Samia hajawafanyia jambo lolote baya hivyo mumuheshimu.
Fanyeni siasa za ustaarabu na kuheshimu mipaka yenu.
Rais Samia ni mcha Mungu na ni mtu wa watu hakika atasikia ombi la Zitto Kabwe anaewakilisha wapinzani.
Chadema acheni uadui na Rais Samia.

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Nani aliyefanya vurugu?
Nyie mliyefanya uovu huu tusemaje?

Mmepiga lisu risasi 30

Mauaji ya kikatili ya mwangosi,mawazo,sanane

Vurugu mlizofanya zimetosha wazee wa simu imezimwa na ipo mahakamani inakaa na chaji mwaka mzima"
 
Baada ya Ombi la Zitto Kabwe kwa Rais Samia naamini Rais Samia ni mtu muungwana na mcha Mungu atasikia na kusaidia kuachia na Freman Mbowe kiongozi wa Upinzani Tanzania.

Tukumbuke kuwa Mbowe amekamatwa kwa makosabya Ugaidi hi makosa hatari sana kwa Usalama wa Taifa.

Nawakumbusha Chadema kuwa Mbowe akiachwa muache vurugu.
Pia acheni mipango ya kulipa kisasi na Ugaidi.
Rais Samia hajawafanyia jambo lolote baya hivyo mumuheshimu.
Fanyeni siasa za ustaarabu na kuheshimu mipaka yenu.
Rais Samia ni mcha Mungu na ni mtu wa watu hakika atasikia ombi la Zitto Kabwe anaewakilisha wapinzani.
Chadema acheni uadui na Rais Samia.

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
hamna ushahidi mnaanza kusema amesamehewa, ukweli utaemwa siku zote na katiba mpya ndi suruhisho
 
Baada ya Ombi la Zitto Kabwe kwa Rais Samia naamini Rais Samia ni mtu muungwana na mcha Mungu atasikia na kusaidia kuachia na Freman Mbowe kiongozi wa Upinzani Tanzania.

Tukumbuke kuwa Mbowe amekamatwa kwa makosabya Ugaidi hi makosa hatari sana kwa Usalama wa Taifa.

Nawakumbusha Chadema kuwa Mbowe akiachwa muache vurugu.
Pia acheni mipango ya kulipa kisasi na Ugaidi.
Rais Samia hajawafanyia jambo lolote baya hivyo mumuheshimu.
Fanyeni siasa za ustaarabu na kuheshimu mipaka yenu.
Rais Samia ni mcha Mungu na ni mtu wa watu hakika atasikia ombi la Zitto Kabwe anaewakilisha wapinzani.
Chadema acheni uadui na Rais Samia.

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Nahisi Wagonjwa wa Uwendawazimu kwa Tanzania watakuwa wameshaongezeka sana hivyo Mamlaka iwahi kabla hali haijawa mbaya zaidi.
 
CDM haijawahi kuhitaji msaada wa Zitto. Zitto anachama chake ACT apambane nacho CDM alishaondoka.
 
Back
Top Bottom