Keyboard Warrior
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 985
- 2,884
Sio siri hali yakisiasa nchini ni mbaya, na huku tuelekeako bado kuna kiza kinene... Uonevu kutoka kwa serikali/chama tawala umekithiri na kufanya wananchi wasiwe na amani. Kiukweli they aren't playing fair.
Unajua mtu anapokuonea halafu ukikaa kimya au kujidai unatumia busara kumsihii aache halafu haachi, lazima utumie njia mbadala ili kujilinda lasivyo utaonewa mpaka basi na kukudharau akihisi huwezi kumfanya chochote.
Tumeshuhudia wanasiasa na wananchi kufunguliwa kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu kisa tu wameikosoa serikali, wengine wakipigwa risasi mchana kweupe, tumeshuhudia wananchi wakipigwa na kukamatwa kwenye uchaguzi ulioisha tu hivi karibuni wakijaribu kutetea haki yao.
Ni muda wa kusema ENOUGH IS ENOUGH na kuitisha maandamano ya nchi nzima. Wapo watakaosema "ooh sijui watu wataumizwa na polisi au vikundi vya usalama, kwa hiyo tunaogopa kuhatarisha maisha ya watu..." lakini that is a price we know we have to pay kuikomboa nchi yetu... Unafikiri watu walivojitokeza kwenye uchaguzi mdogo ulioisha walikuwa hawajui kama vurugu zinaweza zikatokea na kisha kukamatwa au kupigwa na polisi au vikundi vya wafuasi wa chama tawala...La hasha walijua hayo lakini walikuwa tayari kujirisk na kutokea kwa wingi ili watetee demokrasia kupitia sanduku la kura. Hata kina Nyerere waliandamana sana tu wakati wanatafuta uhuru toka kwa wakoloni.
Kwahiyo UKAWA wasiogope, wananchi wako tayari kuandamana, lasivyo tutaonekana waoga kwamba tukitishiwa kidogo tu tunaufyata, ni muda wakuionesha serikali/chama tawala where the real POWER resides, nayo ni with the people.