Mbowe: Tunazuiwa kutembelea matawi ya CHADEMA

Akihojiwa na ITV mwenyekiti wa chadema amesema kwamba sasa serikali inawazuia kutembelea matawi ya chama
****tunaelekea wapi​
Mbowe anatafuta kiki tu, badala aandamane kupinga ufisadi na ufichaji wa sukari unaofanywa na wahujumu, eti anaandamana kuona bunge live, na kutetea wabunge wasiokuwa na nidhamu! Ajabu!
 
Mbowe aache upuuzi abadili aina ya siasa za upinzani hapa nchini.

Siasa za kiki hazitusaidii kama Taifa.
Akubali amepwaya, siasa za huruma na kusumbuana na Polisi zilishapitwa na wakati.

Watanzania tunahitahiji hoja za kitaifa sio kuzurura vijiweni ilimradi kuhalalisha matumizi ya ruzuku ya Chama.
Anachokifanya ni kutafuna ruzuku tu.
 
Huu Uzi ni wa wa kuingizia siku kwa waku wa Lumumba fc
#Buku7fc
#√TutafikaTu
 
Back
Top Bottom