Jeshi la Polisi limesema linamtaka dereva wa Lissu ili liendelee na uchunguzi wa shambulizi la Lissu

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Jeshi la Polisi bado linamhitaji dereva wa Tundu Lissu ili kukamilisha upelelezi. Kwa sababu haiwezekani aendelee kupiga picha na kung’aa vile lakini wanasema ameathirika kisaikolojia,”- IGP Simon Sirro, Mtwara.

Mtanzania

My Take
Hivi huyu dereva angefariki na Lissu naye angefariki wangesubiri wafufuke ndio wafanye uchunguzi au intelejensia yao ikoje?
 
[HASHTAG]#HABARI[/HASHTAG] "Jeshi la Polisi bado linamhitaji dereva wa Tundu Lissu ili kukamilisha upelelezi. Kwa sababu haiwezekani aendelee kupiga picha na kung’aa vile lakini wanasema ameathirika kisaikolojia,”- IGP Simon Sirro, Mtwara. [HASHTAG]#MTANZANIA[/HASHTAG]

Ivi huyu dereva angefariki na Lissu naye angafariki wangesubiri wafufuke ndio wafanye uchunguzi au intelejensia yao ikoje?

Waanze kwanza kuwakamata walinzi wa pale anapoishi Lissu na viongozi wengine,,,nadhani walinzi wa pale wana ushahidi wa kutosha kabisa wa magari yanayoingia na kutoka
 
Ni yeye pekee ana trigger uchunguzi?

Eti mniunge mkono kwenye bvhiiita! Kukamata wahalifu hawa wadogo tu inakuzingua tunakuungaje mkono!??
Uchunguzi ulishaanza day one...hata kuna magari kadhaa yalikamatwa.
Huwa mnalala wakati taarifa zikitolewa?
 
[HASHTAG]#HABARI[/HASHTAG] "Jeshi la Polisi bado linamhitaji dereva wa Tundu Lissu ili kukamilisha upelelezi. Kwa sababu haiwezekani aendelee kupiga picha na kung’aa vile lakini wanasema ameathirika kisaikolojia,”- IGP Simon Sirro, Mtwara. [HASHTAG]#MTANZANIA[/HASHTAG]

Ivi huyu dereva angefariki na Lissu naye angafariki wangesubiri wafufuke ndio wafanye uchunguzi au intelejensia yao ikoje?

Binafsi walichokifanya chadema ni crime, na Mbowe alipaswa kukamatwa kwa kumkimbiza mtu aliyekuwa on the crime scene, kwangu mimi Serikali yetu inaleta mchezo kwenye mambo ya kazi, Mbowe hakupaswa kuwa Mitandaoni na kupiga selfie bali alipaswa kuwa Lupango kwa kumtorosha mtumhiwa, haya mambo ya kufanya kazi kienyeji hayatatufikisha mahali popote pale, huu ujinga hufanyika kwetu tu kwamba shahidi anakuwepo kwenye crime scene halafu anasafirishwa nje ya nchi na waliomsafirisha wapo wanadunda tu, fvck all of them!
 
Back
Top Bottom