johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,447
Mwenyekiti wa CHADEMA mh.Mbowe jana aliripoti kituo cha polisi cha Oysterbay pamoja na watuhumiwa wenzake akiwemo Godbless Lema na Boniface Jacob.
Mbowe aliwaambia waandishi wa habari kuwa wao wametimiza wajibu wao wa kuripoti polisi ila kujua kinachoendelea waulizeni polisi.
Mbowe amesema hajui zoezi hilo la kuripoti polisi litaisha lini.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!