Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Sasa tunakoelekea si kuzuri ndani ya Chadema kutokana na madai ya kuuzwa kwa nafasi za uongozi.Ikumbukwe miaka michache iliyopita uongozi ndani ya chadema ulitokana na uaminifu na kujitolea.
Hizi tuhuma za kuuzwa uongozi ndani ya Chadema zina ukweli? sababu inasemekana kwa sasa kiongozi wa Chadema lazima awe na nguvu za kiuchumi ndipo kamati kuu impitishe,Je wanakagua taarifa ya benki ya mgombea?.Kwa kima cha chini kwa mfano kwa nafasi zifuatazo mgombea awe na ukwasi kiasi gani?..Mwenyekiti jimbo,Mwenyekiti mkoa,Mwenyekiti kanda.
Kama hiki kigezo kitasimamiwa vema ni dhahiri viongozi wangu Chadema hapa Dar, Mwakyembe (Temeke) na Kilewo(Dar) watatupwa nje japo ni waaminifu kwa chama. Pia naona giza nene kwa kijana wangu Yeriko ambaye ni mkulima wa Bamia kule Mbutu.