Mbowe tafadhali tembelea kituo cha Karantini Horohoro Tanga na ikikupendeza wachangie chakula

Mbowe ndiye anakusanya Kodi za nchi hii? Hivi huwa mna reason kwa kutumia nini? johnthebaptist,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe naye na kodi! Unachangia kiasi gani kwa mwezi? Hujui Mbowe anawachangisheni ninyi kodi bila kujua? Hivi leo akisema, nyumbu wangu changieni kwenye akaunti a, b, c,....tupate pesa ya kusaidia quarantine ya horohoro mtachanga pesa kibao? Atumie hiyo fursa kusaidia wahanga wa quarantine. Au mnapenda kuchangia mambo ya kijinga tuu?
 
Kumuomba billionea Mbowe akawasaidie hao watu wanaolia njaa ni kosa? Imevunjwa sheria gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huna akilii. Bilionea ni yule aliyewaita watengeneza ndege ikulu na kuwaagiza ndege atakazo. Wajua 10% ya ndege moja wewe?
Yupo wapi kwenye janga hili la corona?
Nani alimpa sumu MANGULA kama co yy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense. Fedha zilizochangwa na wadau zinafanya kazi gani na za mwenge zinafanya nini, isije ikawa zinaandaliwa kununulia wapinzani wakaunge mkono juhudi.
 
Kupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa.

Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14.
Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa kulipa fedha hizo hivyo wameruhusiwa wawe wanachangishana fedha za kununua unga na mboga kila siku na wajipikie wenyewe.

Ningekuomba KUB Mbowe kabla ya kushupalia lockdown watembelee kwanza wahanga hawa uwasikilize kisha uwasaidie na chakula maana wengi wao wana watoto wadogo wanaohitaji lishe bora.

Ikiwezekana linganisha Karantini uliyokuwepo wewe juzikati na hiyo ya hao wanyonge.

Ni hayo machache

Maendeleo hayana vyama!
Kwani hilo ni jukumu la KUB
 
Unavyosema Mbowe anashupalia unaonesha jinsi gani huna adabu, au huna akili kabisa.

Unajua fika Corona inavyoenezwa, Mbowe anasisitiza lockdown kwaajili ya usalama wa watu, halafu wewe unaleta mchezo wa kitoto.

Unadhani Museveni alichofanya Uganda hana akili?!



Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee umewasikia WHO lakini?!
 
johnthebaptist, Mimi nadhani tungechangia pesa kama ambavyo tuliweza kuwachangia kina Mbowe watoke gerezani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kina Mbowe pumzi iliwaishia ikabidi Dr Magufuli ajazilizie palipo pelea yaani sh 38m.

Mbowe alishaanza kutumikia kifungo ......alipata taarifa akiwa shamba nusura amkate kwa jembe mfungwa mwenzake wakati anarukaruka kwa shangwe ya kuwa huru!
 
Hili bwabwa la lumumba likishalewa linakua pumbafu sn.Kwakua hakuna madhara makubwa lumumba mnaonekana mnasupport mkiti wenu lakin hali ikiwa mbaya hutaleta kejeli za kitoto kwa mtoa ushauri.Ni wajibu wa serikali kutunza raia wake wanapokua kwenye majanga kupanga ni kuchagua.Vipi na wale waliofariki kwa corona umemwambia mwenyekiti wako awapelekee chakula familia zao?Siasa za ccm za kipuzi sana hawangalii hoja bali si mwenzetu.One of the political scientist says"partisanship distort mental ability"
Muulize mama Mitigator ninavyomchumisha tembele!
 
Kina Mbowe pumzi iliwaishia ikabidi Dr Magufuli ajazilizie palipo pelea yaani sh 38m.

Mbowe alishaanza kutumikia kifungo ......alipata taarifa akiwa shamba nusura amkate kwa jembe mfungwa mwenzake wakati anarukaruka kwa shangwe ya kuwa huru!
Ha haaa eti akiwa shamba, sipati picha
 
Apa ndiyo taifa letu linapokwama kwakua na watu wanao toa mawazo ya kijinga lakini kuonekana niya maana kwa wengi. Unasoma huyu mpinzani wa Ufipa aende kuwatembelea watu ambao wapo karantini...Bila shaka ujui maana ya karantini. Pili,unasema watu hao ni wanyonge lakini wanalipishwa 140,000 kwa siku 14.Je,uoni kua huu ni unyonyaji mwingine?
 
Back
Top Bottom