Mbowe, Sweden sio mbali, nenda kampigie magoti Dkt. Slaa

Mbowe kuna baadhi ya laana huwa zinafutika bila shaka hata hii ya Dr Slaa anaweza kukusamehe. Kibuli hakilipi, kuwa mdogo, kuwa mnyonge , jishushe muombe msamaha.

Ukifika mwambie maneno haya "Mzee mwenzangu huu mguu wako, nimetoka Dar es salaam kuja kukuomba msamaha. Nilikuita majina ya ajabu ajabu kama Dr Mihogo n.k, niko chini ya miguu yako. Najua hela ilipita katikati yetu na yote uliyoyajenga kwa zaidi ya miaka 20 kwa jasho na damu mimi nimeyabomoa kwa kasi ya ajabu ndani ya miaka 4. Kwa niaba ya chama naomba tusamehe"

Ni wakati sasa wa kuona mlipokosea na kuomba msamaha ili kurudia ufalme wenu
Kwanu slaa bado yupo sweden?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom