Mbowe, Slaa Watofautiana kuhusu Zitto...

Status
Not open for further replies.

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
Huku katibu mkuu Dk Slaa akitaka zitto arudishiwe nafasi zake zote ndani ya Chama Mwenyekiti amepinga vikali kutorejeshwa katika nafasi zake, amesema kuna makosa yalitendeka katika kumvua nyadhifa hizo, kutoka na na msimamo huo imepelekea Hata kuachia nafasi ya katibu mkuu endapo Mwenyekiti Mbowe atashikilia msimamo wake huo. Habari zaidi soma JAMBO LEO.
 
Magazeti kama haya yanaendelea kutolewa kwa sababu wamiliki wao ni watoto wa vigogo halafu wana ukwasi wa madawa ya kulevya!
 
Huku katibu mkuu Dk Slaa akitaka zitto arudishiwe nafasi zake zote ndani ya Chama Mwenyekiti amepinga vikali kutorejeshwa katika nafasi zake, amesema kuna makosa yalitendeka katika kumvua nyadhifa hizo, kutoka na na msimamo huo imepelekea Hata kuachia nafasi ya katibu mkuu endapo Mwenyekiti Mbowe atashikilia msimamo wake huo. Habari zaidi soma JAMBO LEO.

Dah! Too much sasa!
 
Jamani Kama ni habari za uongo Dk Slaa siatakanusha.

Halafu mnapoamua kufanya Propaganada basi jaribuni kutumia hata kichwa kidogo.
Sio kila siku kutoa Points zenu kutokea katikati ya Makalio
 
Jamani Kama ni habari za uongo Dk Slaa siatakanusha.

Waandike uongo kwa makusudi ili baadae wapoteze muda wa watu makini kukanusha. Ndiyo strategy mpya iliyoko mtamboni?

Chonganisha Mbowe na Slaa, tapeli wajumbe wa mikutano kwa kuwasainisha fomu 'feki' mkidanganya zimetoka Makao Makuu ya Chama, chonganisha wajumbe, chonganisha wanachama na chama chao, chonganisha, chonganisha, sema uongo, sambaza uongo...ndiyo strategy iliyoko mtamboni?

Ndani ya CHADEMA si suala la 'mtu kutaka' wala 'mtu kupinga vikali', ni misingi kutaka na kupinga vikali. Wanaotaka chama kisimame kwenye matakwa ya mtu ndiyo wanaoeneza uongo kama huu. Lengo nini? CHADEMA kuna mgogoro!

Hakuna mgogoro kuna kusimamia nidhamu na kujenga imani ya wananchi ambao wana matumaini makubwa na chama chao.

Hii ya kuwachonganisha Mwenyekiti na Katibu Mkuu wake mbona haijaanza leo, bado mnahisi inaweza kufanikiwa na kuzaa matunda?

Ndani ya CHADEMA msingi wa masuala yote ni Katiba, Kanuni, taratibu, maadili na miongozo. Si mtu. Kama watu wanaamini hawajavunja misingi ya CHADEMA wasiwasi wote huu unatoka wapi hadi kuzusha maneno ya uongo mkavu kama huu.

Ndani ya CHADEMA, Katiba, kanuni, maadili, taratibu na miongozo ndiyo itampenda au kumchukia mtu yeyote. Si suala la mtu fulani kumpenda au kumchukia fulani.

Hakuna kitu kama hicho. Labda kama hata walioandika hawajui maana ya 'maamuzi ya kikao'...
 
Huku katibu mkuu Dk Slaa akitaka zitto arudishiwe nafasi zake zote ndani ya Chama Mwenyekiti amepinga vikali kutorejeshwa katika nafasi zake, amesema kuna makosa yalitendeka katika kumvua nyadhifa hizo, kutoka na na msimamo huo imepelekea Hata kuachia nafasi ya katibu mkuu endapo Mwenyekiti Mbowe atashikilia msimamo wake huo. Habari zaidi soma JAMBO LEO.

Mkuu Jambo leo ni gazeti la mafichoni. Angalia sana!
 
Huku katibu mkuu Dk Slaa akitaka zitto arudishiwe nafasi zake zote ndani ya Chama Mwenyekiti amepinga vikali kutorejeshwa katika nafasi zake, amesema kuna makosa yalitendeka katika kumvua nyadhifa hizo, kutoka na na msimamo huo imepelekea Hata kuachia nafasi ya katibu mkuu endapo Mwenyekiti Mbowe atashikilia msimamo wake huo. Habari zaidi soma JAMBO LEO.

Mtasubiri sana anafukuzwa huyo msaliti
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja,watanzania tu malimbuken sana tunapenda ongelea nafsi za watu,kama gazet limeandika viile y ubishe,?Babu Gongo yupo atakuja kujbu mPgo kama si kwek akikaaa kimya ndo mjue ujumbe umefka
 
Waandike uongo kwa makusudi ili baadae wapoteze muda wa watu makini kukanusha. Ndiyo strategy mpya iliyoko mtamboni?

Chonganisha Mbowe na Slaa, tapeli wajumbe wa mikutano kwa kuwasainisha fomu 'feki' mkidanganya zimetoka Makao Makuu ya Chama, chonganisha wajumbe, chonganisha wanachama na chama chao, chonganisha, chonganisha, sema uongo, sambaza uongo...ndiyo strategy iliyoko mtamboni?

Hii ya kuwachonganisha Mwenyekiti na Katibu Mkuu wake mbona haijaanza leo, bado mnahisi inaweza kufanikiwa na kuzaa matunda?

Ndani ya CHADEMA msingi wa masuala yote ni Katiba, Kanuni, taratibu, maadili na miongozo. Si mtu. Kama watu wanaamini hawajavunja misingi ya CHADEMA wasiwasi wote huu unatoka wapi hadi kuzusha maneno ya uongo mkavu kama huu.

Hakuna kitu kama hicho. Labda kama hata walioandika hawajui maana ya 'maamuzi ya kikao'...

Japo sikubaliani sana na sera, kanuni, miongozo ya chama chenu ila nikupongeze kwa majibu mazuri na kwa wakati. Uwe na sikukuu njema.
 
Nasikia Agness Masogange ni mmoja wa Wahariri wa gazeti hilo. Sina uhakika mie.
 
Zitto utahangaika sana, lakini nikueleze kuwa Chadema haitumii kauli ya mmtu mmoja bali Katiba ya Chama,

Tumia katiba ya chama kuishi ndani ya Chadema.
 
Status
Not open for further replies.
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom