Mbowe: Sijakatishwa tamaa na uchaguzi wa 2020 hiki chama ninachokiongoza kina umri wa miaka 30 sasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,901
141,838
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema hajakatishwa tamaa na uchaguzi mkuu wa 2020, na kwamba Mageuzi ni swala la mchakato.

Mbowe amesema chama anachokiongoza CHADEMA kwa sasa kina umri wa miaka 30 hivyo ni chama kikubwa na kitayafikia malengo yake ya kutwaa dola.

Nawasalimu kwa jina la JMT.
 
Kauli imesimama, hajakatishwa tamaa angesema amekata tamaa hata mimi ningemshangaa, ningemwambia aachie uenyekiti arudi nyumbani.

Kweli Katiba Mpya ni mchakato; kuanzia kuundwa sheria yake, kuandaa rasimu, kuitisha bunge la katiba, na rasimu kupigiwa kura/kupitishwa, ila kila hatua lazima pawe na msisitizo wa kuifikia, sio kusema tu ni mchakato halafu wavivu wadhani upatikanaji wake unaweza kuchukua hata miaka mia.
 
Kauli imesimama, hajakatishwa tamaa angesema amekata tamaa hata mimi ningemshangaa, ningemwambia aachie uenyekiti arudi nyumbani.
Atachiaje uwenyekiti wakati yeye siyo mwana demokrasia.

Kashindwa kutekeleza jambo hilo kwenye kichama je tukimpa nchi nini kitatokea?

Punguani tu ndo wanaweza kumwelewa.
 
Atachiaje uwenyekiti wakati yeye siyo mwana demokrasia.

Kashindwa kutekeleza jambo hilo kwenye kichama je tukimpa nchi nini kitatokea?

Punguani tu ndo wanaweza kumwelewa.
Sio mwanademokrasia, na wale wajumbe wanaompigia kura huwa sio wanademokrasia pia, ni punguani tu ndio atakaeshindwa kuelewa jambo hili.
 
Back
Top Bottom