eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Tulitaka kumwaga baba yetu kwenye uwanja wa mashujaa kwa kuwa huyu ni shujaa wetu nikafanya juhudi mpaka kuongea na Waziri mkuu majaliwa akaniambia anashughulikia lakini mpaka ninapoongea sijajibiwa
Mbowe alinukuliwa akisema kuna uonevu usiovumilika wanaofanyiwa wananchi wa Arusha na Kilimanjaro na watu wanaogopa kusema lakini yeye atasema wazi hivyo kuwataka rais magufuli na majaliwa kuelewa wananchi wa Arusha na Kilimanjaro ni sehemu ya Tanzania na wataendelea kuipigania haki yao hiyo
Mbowe alisema haipendezi watanzania kubaguana kwa namna yoyote ile huku akidai watu huogopa hata kujitambulisha kwa koo zao kama Mushi Masawe au Tarimo na majina mengine ya kichaga kwa kuwa hawana uhakika watawala watawafanya nini
Aliwalaumu police kwa kuwanyima matarumbeta na chuo cha police moshi na kuzuiwa kutumia baadhi ya barabara kwa sababu zisizokuwa na mashiko
Tulitaka tumsindikize mzee wetu kwa matarumbeta tukaenda kukodisha CCP kwa sh/300,000 majibu waliyonipa ni kwamba niongee na IGP sirro wakati hii bendi hukodishwa mpaka kwenye maharusi leo naambiwa niongee na IGP!!?
Chanzo Tanzania daima