Elections 2015 Mbowe, Sababu za kushindwa kwa UKAWA hizi hapa

2kimo

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,029
2,071
Mkuu Mbowe huna sababu ya kususia matokeo ya uchaguzi, kulikuwa na kila sababu kwa nyinyi kushindwa na miongoni mwa sababu kuu ni hizi hapa:-

1.Taswira ya team ya kampeni (team ya kanda vs taifa stars)

hakuna anayeweza kubisha kuwa sura ya team ya kampeni ya ukawa ilikuwa haina taswira ya kitaifa.
watu wa kaskazini waliongoza team kwa kiasi kikubwa na kufanya watu wa maeneo mengine wasijione kufit ndani ya ukawa. team iliongozwa na Mbatia, Mbowe, Sumaye, Lowasa na Mrema. Team hii haikutoa support kabisa kwa Mgombea mwenza na kumfanya Mnyaa wa cuf kumpa support jambo ambalo nalo linaweza kuwa swali kwa wadadisi wa mambo. Lakini tujiulize ukawa haikuwa na hazina nyingine kabisa katika uundaji wake wa team ya kampeni.

Kwa upande wa ccm ilikuwa wazi unaiona Tanzania kwa kiwango cha kujihisi kufit zaidi huko kuliko kwa vyama vingine. Unamuona Mwigulu, Kinana, Makamba, Kikwete, Magufuli, Msukuma, Mkapa, Mwinyi, Warioba etc, hii ilikuwa team ya taifa kwelikweli.

2. Afya ya Mgombea wa ukawa

Wakati wa kampeni hali ya kiafya ya Mh. Lowasa ilikuwa tete kiasi cha kufanya iwe ni news sehemu nyingi za kampeni. Slogan ya hapa kazi tu na push up zilitawala na kuzijengea umaarufu kampeni za ccm. lakini hali ya afya ya mgombea wa ukawa ilimfanya Lowasa ashindwe kupambana mwenyewe jukwaani na kushindwa kujitetea kabisa. Kimsingi Lowasa alikuwa mgombea mwenye sifa nyingi nzuri za kiuongozi. Mfano, Taaluma yake ya digrii ya uzamili ni juu ya maendeleo na sera zake pia zilikuwa zinaeleweka lakini hakuwa na nafasi kutawala jukwaa kutokana na afya yake kuwa na mgogoro.

3. kujiengua kwa Lipumba na Slaa

Hawa walikuwa ni mwiba sana kwa ccm, nadhani itabidi baada ya matokeo ya mwisho tujumlishe alama alizopata Slaa na Lipumba na tuone kwa umoja wao walifanikiwa kwa kiasi gani? Lakini kukosekana kwa Lipumba kumevuruga sana kura za cuf ndio maana maeneo ambayo cuf imeshinda Lowasa hakupata kura nyingi sana kama maeneo ambayo CDM walikuwa wakishinda.

4. UKAWA kushindwa kufikia muafaka
kwa kiasi kikubwa ukawa walikuwa wanapambana wenyewe kwa wenyewe ktk baadhi ya sehemu. kwa hili mbowe ana lawama kwa kiasi fulani maana yeye ndiye engineer mkuu wa umoja huu hasa hatua hii ya pili ya kuungana kwa ajili ya uchaguzi. Kuna baadhi ya maeneo ambayo yalikuwa na utata na yeye alishindwa kutoa uamuzi na kuacha mgogoro ukue. kigoma, dar na kusini zilitokea kesi na chadema walipuuzia kwa kiwango kikubwa. hii ilileta ugomvi kwa kiasi kikubwa na kusababisha mfarakano ambao haukuwa wa lazima. Mbowe alikuwa na nafasi ya kuwakemea wanachadema waliokuwa hawaheshimu makubaliano na pia Maalim na Mtatiro na mbatia walishindwa kuwajibika kwa nafasi zao na hivyo kuwa-cost kwa kushindwa kutumia vema fursa hii ya muungano wao.

5. uwekezaji mbovu kwa vijana
Lowasa na ukawa waliinvest mno kwa vijana hasa wale wafanya biashara wachuuzi na vijana wa boda boda. kuna kila dalili uwekezaji huu umemgharimu sana maana kama utakumbuka siku ya uchaguzi kulikuwa hakuna usafiri kwa masaa mengi hasa ya asubuhi na kwa jinsi hiyo vijana walikuwa wanakimbiza nyomi la abiria na kusahau kuwa walikuwa na ahadi na mgombea. lakini wakati wa uandikishwaji vijana walikuwa wanajiandikisha sana makazini kwao ila kwa bahati mbaya watu wengi hawakupata fursa ya kwenda mbali na kwao na kwa hali ya usalama ilivyokuwa vijana hawakuthubutu kwenda mbali na kurisk usalama wao.

ilipaswa lowasa awasome aina ya vijana waliokuwa wanadeal nao, kinyume chake ccm iliinvest kwa vijana wenye nafuu na fursa hasa za elimu na nafasi kama wasanii na baadhi ya vikundi vya vijana. hawa huwa wanajua thamani za kura zao na walijitahidi kuhakikisha kuwa wanapiga kura.

Yapaswa wakajipange upya kuliko kuendelea kukataa kwa tatizo waliloliunda wenyewe.
 
Mtakuja na analysis nyingi ku justify matokeo ya uchaguzi wenu lakini ukweli utabaki pale pale CCM wamefake matokeo, hiyo itabaki milele. Historia itamkumbuka Magufuli kama rais aliyeshinda uchaguzi kwa wizi mkubwa sana wa kura. Huu ni ukweli hata wewe unajua.
 
6. kujikita sana maeneo ya mjni na kusahau watu wa vijijini.
 
Mtakuja na analysis nyingi ku justify matokeo ya uchaguzi wenu lakini ukweli utabaki pale pale CCM wamefake matokeo, hiyo itabaki milele. Historia itamkumbuka Magufuli kama rais aliyeshinda uchaguzi kwa wizi mkubwa sana wa kura. Huu ni ukweli hata wewe unajua.

we ni lofa kati ya malofa yani bado unahisi kua ccm wameiba kula
 
Ccm ni wezi na kutumia ubabe wa kutangaza matokeo.siamini badala ya kumchagua rais ninayemtaka naenda kumchagua mwenyekiti wa ccm
 
Unafikiri Lipumba na Slaa wangekuwepo ingebadilisha kitu? Kuishinda CCM ni zaidi ya kinachotokea kwenye masanduku ya kura (CCM is an experienced electoral machine. Huwashindi tu eti kwa kuwa kura zao hazijatosha. Tizama kinachotokea Zanzibar, kama unataka ushahidi).

Watanzania wengi bado ni waoga wa kuiadhibu CCM. Hawajiamini. They are ignorant of their own power - power of their votes. Wanafikiri uchaguzi ni kwa ajili ya viongozi na si kwa ajili ya mustakabali wa maisha yao. Wanapiga kura kama kutoa zawadi kwa wagombea wanaowataka badala ya kupiga kura kwa mustakabali wa maisha yao. Kwamba nimeamua kumchagua flani na yeye akafaidi.

Wanadanganyika kirahisi. Hawahoji mambo. Maneno matupu wanaridhika. Ukabila. Kwamba mchague flani bana "ni wa nyumbani".

By design, uchaguzi hauwezi kuwa huru na haki. Tume ya Uchaguzi na vyombo vyote vya dola + wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, DEDs, wakuu wa taasisi za umma - wote hawa hufanya kazi kuhakikisha kuwa maslahi ya CCM yanalindwa na upinzani unadidimizwa. CCM ikiwa na shaka na taasisi yoyote ile, basi hufanya mabadiliko ya uongozi katika taasisi hiyo hata siku chache kabla ya kura kupigwa. Usiposhiriki kikamilifu kufanikisha kampeni/mikakati ya CCM unatolewa kwenye nafasi uliyopo.

In short, "the spirit of let's have a fair war is not deep enough" - bila kujali ni Slaa, au Lipumba, au Lowassa, au Hashimu Rungwe anayegombea urais kwa tiketi ya kambi ya upinzani.
 
Mtakuja na analysis nyingi ku justify matokeo ya uchaguzi wenu lakini ukweli utabaki pale pale CCM wamefake matokeo, hiyo itabaki milele. Historia itamkumbuka Magufuli kama rais aliyeshinda uchaguzi kwa wizi mkubwa sana wa kura. Huu ni ukweli hata wewe unajua.
Hivi matokeo ya 2010 vipi mkuu nasikia mpaka leo hii nayo hamyatambui au mlishayakubali....!
 
Mkuu Mbowe huna sababu ya kususia matokeo ya uchaguzi, kulikuwa na kila sababu kwa nyinyi kushindwa na miongoni mwa sababu kuu ni hizi hapa:-

1.Taswira ya team ya kampeni (team ya kanda vs taifa stars)

hakuna anayeweza kubisha kuwa sura ya team ya kampeni ya ukawa ilikuwa haina taswira ya kitaifa.
watu wa kaskazini waliongoza team kwa kiasi kikubwa na kufanya watu wa maeneo mengine wasijione kufit ndani ya ukawa. team iliongozwa na Mbatia, Mbowe, Sumaye, Lowasa na Mrema. Team hii haikutoa support kabisa kwa Mgombea mwenza na kumfanya Mnyaa wa cuf kumpa support jambo ambalo nalo linaweza kuwa swali kwa wadadisi wa mambo. Lakini tujiulize ukawa haikuwa na hazina nyingine kabisa katika uundaji wake wa team ya kampeni.

Kwa upande wa ccm ilikuwa wazi unaiona Tanzania kwa kiwango cha kujihisi kufit zaidi huko kuliko kwa vyama vingine. Unamuona Mwigulu, Kinana, Makamba, Kikwete, Magufuli, Msukuma, Mkapa, Mwinyi, Warioba etc, hii ilikuwa team ya taifa kwelikweli.

2. Afya ya Mgombea wa ukawa

Wakati wa kampeni hali ya kiafya ya Mh. Lowasa ilikuwa tete kiasi cha kufanya iwe ni news sehemu nyingi za kampeni. Slogan ya hapa kazi tu na push up zilitawala na kuzijengea umaarufu kampeni za ccm. lakini hali ya afya ya mgombea wa ukawa ilimfanya Lowasa ashindwe kupambana mwenyewe jukwaani na kushindwa kujitetea kabisa. Kimsingi Lowasa alikuwa mgombea mwenye sifa nyingi nzuri za kiuongozi. Mfano, Taaluma yake ya digrii ya uzamili ni juu ya maendeleo na sera zake pia zilikuwa zinaeleweka lakini hakuwa na nafasi kutawala jukwaa kutokana na afya yake kuwa na mgogoro.

3. kujiengua kwa Lipumba na Slaa

Hawa walikuwa ni mwiba sana kwa ccm, nadhani itabidi baada ya matokeo ya mwisho tujumlishe alama alizopata Slaa na Lipumba na tuone kwa umoja wao walifanikiwa kwa kiasi gani? Lakini kukosekana kwa Lipumba kumevuruga sana kura za cuf ndio maana maeneo ambayo cuf imeshinda Lowasa hakupata kura nyingi sana kama maeneo ambayo CDM walikuwa wakishinda.

4. UKAWA kushindwa kufikia muafaka
kwa kiasi kikubwa ukawa walikuwa wanapambana wenyewe kwa wenyewe ktk baadhi ya sehemu. kwa hili mbowe ana lawama kwa kiasi fulani maana yeye ndiye engineer mkuu wa umoja huu hasa hatua hii ya pili ya kuungana kwa ajili ya uchaguzi. Kuna baadhi ya maeneo ambayo yalikuwa na utata na yeye alishindwa kutoa uamuzi na kuacha mgogoro ukue. kigoma, dar na kusini zilitokea kesi na chadema walipuuzia kwa kiwango kikubwa. hii ilileta ugomvi kwa kiasi kikubwa na kusababisha mfarakano ambao haukuwa wa lazima. Mbowe alikuwa na nafasi ya kuwakemea wanachadema waliokuwa hawaheshimu makubaliano na pia Maalim na Mtatiro na mbatia walishindwa kuwajibika kwa nafasi zao na hivyo kuwa-cost kwa kushindwa kutumia vema fursa hii ya muungano wao.

5. uwekezaji mbovu kwa vijana
Lowasa na ukawa waliinvest mno kwa vijana hasa wale wafanya biashara wachuuzi na vijana wa boda boda. kuna kila dalili uwekezaji huu umemgharimu sana maana kama utakumbuka siku ya uchaguzi kulikuwa hakuna usafiri kwa masaa mengi hasa ya asubuhi na kwa jinsi hiyo vijana walikuwa wanakimbiza nyomi la abiria na kusahau kuwa walikuwa na ahadi na mgombea. lakini wakati wa uandikishwaji vijana walikuwa wanajiandikisha sana makazini kwao ila kwa bahati mbaya watu wengi hawakupata fursa ya kwenda mbali na kwao na kwa hali ya usalama ilivyokuwa vijana hawakuthubutu kwenda mbali na kurisk usalama wao.

ilipaswa lowasa awasome aina ya vijana waliokuwa wanadeal nao, kinyume chake ccm iliinvest kwa vijana wenye nafuu na fursa hasa za elimu na nafasi kama wasanii na baadhi ya vikundi vya vijana. hawa huwa wanajua thamani za kura zao na walijitahidi kuhakikisha kuwa wanapiga kura.

Yapaswa wakajipange upya kuliko kuendelea kukataa kwa tatizo waliloliunda wenyewe.
Sababu za kushindwa UKAWA ni hizi:
1. Katiba mbovu na tume ya uchaguzi kuwa upande wa CCM
2.Katiba mbovu na tume ya uchaguzi kuwa upande wa CCM
3. Katiba mbovu na tume ya uchaguzi kuwa upande wa CCM
4. Katiba mbovu na tume ya uchaguzi kuwa upande wa CCM
5. Katiba mbovu na tume ya uchaguzi kuwa upande wa CCM

Mengine uliyoandika ni porojo za CCM za kutaka watu wasijue adui yao kwenye uchaguzi ni nani!
 
Mtakuja na analysis nyingi ku justify matokeo ya uchaguzi wenu lakini ukweli utabaki pale pale CCM wamefake matokeo, hiyo itabaki milele. Historia itamkumbuka Magufuli kama rais aliyeshinda uchaguzi kwa wizi mkubwa sana wa kura. Huu ni ukweli hata wewe unajua.
Mbona wabunge ccm 188 kati ya 264? Hiyo tu ni kiashilio tosha kuwa ushindi wa Ccm ni halali. Mkubali kushindwa.
 
Ukawa haijashindwa acha uongo. Bali kikwete alikamia Lowasa asiingie ikulu. Lakini hii dhuluma itawasumbua sana mioyo yao. Muda si mrefu wataomba kupatana na Lowasa. To hell wanafiki wa ccm.
 
Mbona wabunge ccm 188 kati ya 264? Hiyo tu ni kiashilio tosha kuwa ushindi wa Ccm ni halali. Mkubali kushindwa.

Kule Segerea DSM ccm imekosa kata zote ila imepata mbunge. Hivyo uwezekano wa Lowasa kushinda kura za urais na wabunge wa ukawa kuanguka inawezekana. Upo hapo.
 
we ni lofa kati ya malofa yani bado unahisi kua ccm wameiba kula

Tena akili yake mbovu sana, wangekuwa wameiba wangeweka asilimia kubwa ya ushindi, kura ndivyo zilivyopigwa-labda mamv ndo alitaka kuiba-waliposhika mitambo yake na vijana wake ndipo akajitokeza kulalamika, na tena akasema wahesabu kwa mkono.
 
Itv wamenyaka kura feki kibao huko Kagera. Huo ni mtindo uliotumika na ccm nchi nzima, ila inshomile wamegoma kutumika.

Itv ilikuwa biased!
Ukikamata kura feki halafu unatia moto maana yake nini?
Huo lazima uwe uongo!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom