Mbowe - Sababu za kushindwa kwa UKAWA hizi hapa

B

bantulile

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
1,549
Points
1,250
B

bantulile

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2012
1,549 1,250
Kama unafuatilia vizuri vyama vya upinzani vimepig hatua zaidi kuliko mfumo wa vyama vingi ulioanza. Sasa hivi watanzania wengi, siyo wote lakini idadi inayoongezeka wanajua kuwa upo uwezekana wa kuishinda CCM. Kama unafuatilia idadi ya kura, na wabunge wa vyama vya upinzani imekuwa ikiongezeka uchaguzi hadi uchaguzi kuanzia 1995 uchaguzi w vyama vingi ulipofanyika kwa mara ya kwanza. Kura kwa vyama vya upinzani zimepatikana pia vijijini kuliko hapo mwanzo zilikuwa zikipatikana mijini tu. Makosa ya viongonzi wa vyama vya upinzani pia yanachangia kushindwa kukabiliana na mbinu za chama kizoefu cha migogoro kwa miaka mingi. Dhana ya viongozi kumiliki chama na kujipa mamlaka ya kuwaengua wasiowataka inawafanya wanachama waone chama si chao bali nicha baadhi ya viongozi. Kuweka imani katika nguvu ya mtu mmoja badala ya chama, mfano kumuengua Dr. Slaa kwa gharama ya kumpata Lowasa kunathibitisha hoja hii. Kuamini kuwa pesa inaweza kuwezesha kupata uongozi.
Unafikiri Lipumba na Slaa wangekuwepo ingebadilisha kitu? Kuishinda CCM ni zaidi ya kinachotokea kwenye masanduku ya kura (CCM is an experienced electoral machine. Huwashindi tu eti kwa kuwa kura zao hazijatosha. Tizama kinachotokea Zanzibar, kama unataka ushahidi).

Watanzania wengi bado ni waoga wa kuiadhibu CCM. Hawajiamini. They are ignorant of their own power - power of their votes. Wanafikiri uchaguzi ni kwa ajili ya viongozi na si kwa ajili ya mustakabali wa maisha yao. Wanapiga kura kama kutoa zawadi kwa wagombea wanaowataka badala ya kupiga kura kwa mustakabali wa maisha yao. Kwamba nimeamua kumchagua flani na yeye akafaidi.

Wanadanganyika kirahisi. Hawahoji mambo. Maneno matupu wanaridhika. Ukabila. Kwamba mchague flani bana "ni wa nyumbani".

By design, uchaguzi hauwezi kuwa huru na haki. Tume ya Uchaguzi na vyombo vyote vya dola + wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, DEDs, wakuu wa taasisi za umma - wote hawa hufanya kazi kuhakikisha kuwa maslahi ya CCM yanalindwa na upinzani unadidimizwa. CCM ikiwa na shaka na taasisi yoyote ile, basi hufanya mabadiliko ya uongozi katika taasisi hiyo hata siku chache kabla ya kura kupigwa. Usiposhiriki kikamilifu kufanikisha kampeni/mikakati ya CCM unatolewa kwenye nafasi uliyopo.

In short, "the spirit of let's have a fair war is not deep enough" - bila kujali ni Slaa, au Lipumba, au Lowassa, au Hashimu Rungwe anayegombea urais kwa tiketi ya kambi ya upinzani.
 
Z

Zungu Pule

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2008
Messages
2,219
Points
2,000
Z

Zungu Pule

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2008
2,219 2,000
Kama unafuatilia vizuri vyama vya upinzani vimepig hatua zaidi kuliko mfumo wa vyama vingi ulioanza. Sasa hivi watanzania wengi, siyo wote lakini idadi inayoongezeka wanajua kuwa upo uwezekana wa kuishinda CCM. Kama unafuatilia idadi ya kura, na wabunge wa vyama vya upinzani imekuwa ikiongezeka uchaguzi hadi uchaguzi kuanzia 1995 uchaguzi w vyama vingi ulipofanyika kwa mara ya kwanza. Kura kwa vyama vya upinzani zimepatikana pia vijijini kuliko hapo mwanzo zilikuwa zikipatikana mijini tu. Makosa ya viongonzi wa vyama vya upinzani pia yanachangia kushindwa kukabiliana na mbinu za chama kizoefu cha migogoro kwa miaka mingi. Dhana ya viongozi kumiliki chama na kujipa mamlaka ya kuwaengua wasiowataka inawafanya wanachama waone chama si chao bali nicha baadhi ya viongozi. Kuweka imani katika nguvu ya mtu mmoja badala ya chama, mfano kumuengua Dr. Slaa kwa gharama ya kumpata Lowasa kunathibitisha hoja hii. Kuamini kuwa pesa inaweza kuwezesha kupata uongozi.
Sawa. Hapa unalaumu viongozi wa upinzani. Unasema nini kuhusu wapiga kura? Au wao huwa hawakosei? Wapiga kura wa Mwanza, kwa mfano. Niseme tu vyama vya upinzani vimejitahidi sana kuelimisha Watanzania. Lakini watu hawa-respond/hawataki kuelewa. Wanashindwa ku-comprehend kinachosemwa na kambi ya upinzani. Lakini wanaelewa haraka sana uongo wa CCM. Hofu yangu ni kwamba watu watakata tamaa na siasa za upinzani zitafifia. Maoni ya baadhi ya watu sasa ni kila mtu kula urefu wa kamba yake. The future looks gloomy to me.
 
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Messages
12,765
Points
2,000
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2009
12,765 2,000
Ni hawa hawa Watanzania wanoitwa waoga waliweza kukomboa Afrika .... .... yaani Msumbiji, Zimbabwe, Angola, Afrika ya Kusini hata Uganda. Huu uoga umeanza kwenye miaka ya juzi labda wanaosema WTZ waoga hawakusoma nk wafafanue. Hawa waoga waliweza kuwashinda USA, Europe na nchi zilizoendelea kuleta mapinduzi kwa waafrika wengine. Kenya hawakuwa waoga wao walikuwa wanalala kitanda kimoja na Waingereza.

Kweli kama huna hoja bora unyamaze nilisema hapa katu Mwizi Jambazi anayejulikana kama Edward Ngoyai Lowasa hawezi kuongoza hii nchi. Any way WTZ ni waoga ndio sababu wamemchagua Jambazi Sugu aende kuchunga Ng'ombe Monduli.
 
B

bantulile

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
1,549
Points
1,250
B

bantulile

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2012
1,549 1,250
Wapiga kura wanaelewa sana wanachosema wanasiasa. Swala la ufisadi lilisemwa vizuri na wapinzani, wakawachukia sana CCM, wakawa tayari kuwapa kura wapinzani ili waachane na uongozi wa kifisadi. Viongozi wa upinzani wanapobadili ajenda na kuanza kuwatetea watuhumiwa wa upinzani, wapiga kura hawawaelewi. Wanakuwa na wasiwasi juu ya umakni wao na ukweli wao. Wengine wanaenda mbali zaidi na kudhani viongozi wa upinzani wana wageuza wapiga kura kama majuha wanaoweza kuambiwa hivi na kesho vile. Mtu unayemheshimu huwezi kumwambia kauli mbili zinazokinzana na bado akakuamini. Lazima atakudharau kwa sababu ama haujui jana ulisema nini ama leo hujui lakini haziwezi kuwa kauli zote mbili ni sahihi. Ndiyo maana mtu anayejiheshimu na kuwaheshimu wengine Dr. Wilbroad Slaa alikataa kujipinga mwenyewe na kubadilisha kile alichokisema jana kusema fisadi siyo fisadi maadam tu amehamia UKAWA. Hii ni tabia ya kiungwana kuwaheshimu wengine na kuogopa kuhojiwa nao baadaye.
Sawa. Hapa unalaumu viongozi wa upinzani. Unasema nini kuhusu wapiga kura? Au wao huwa hawakosei? Wapiga kura wa Mwanza, kwa mfano. Niseme tu vyama vya upinzani vimejitahidi sana kuelimisha Watanzania. Lakini watu hawa-respond/hawataki kuelewa. Wanashindwa ku-comprehend kinachosemwa na kambi ya upinzani. Lakini wanaelewa haraka sana uongo wa CCM. Hofu yangu ni kwamba watu watakata tamaa na siasa za upinzani zitafifia. Maoni ya baadhi ya watu sasa ni kila mtu kula urefu wa kamba yake. The future looks gloomy to me.
 
Nyangomboli

Nyangomboli

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
2,882
Points
2,000
Nyangomboli

Nyangomboli

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2010
2,882 2,000
Ccm ni wezi na kutumia ubabe wa kutangaza matokeo.siamini badala ya kumchagua rais ninayemtaka naenda kumchagua mwenyekiti wa ccm
Unamtaka wewe! Mimi unajua unamtaka nani? Mbona sisi tumempigia Hashim Rungwe yumekaa kimya na tunataka amani yetu iendelee? .bona nyie washari bila sababu za msingi? Fanyeni kazi vijana deal limeloga
 
E

eveready

Senior Member
Joined
Aug 28, 2015
Messages
160
Points
0
E

eveready

Senior Member
Joined Aug 28, 2015
160 0
we ni lofa kati ya malofa yani bado unahisi kua ccm wameiba kula
Wewe ndo taahira mwenye akili za kuku...kama ingekuwa mbona walikuwa wanaharakisha kama mtu anaeharisha kipindupindu...huyo alochaguliwa ni Rais wa Tanganyika why aitwe wa Muungano??? Mbagala wamewaambia watu muafaka asubuhi matokeo yake wamebandika matokeo ya kulazimisha usiku.Acha kutetea ujinga,ukute mtu mwenyewe muuza mkaa tu halafu unaleta domokaya hapa.
 
N

Ngokongosha

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2011
Messages
962
Points
1,000
N

Ngokongosha

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2011
962 1,000
Mtakuja na analysis nyingi ku justify matokeo ya uchaguzi wenu lakini ukweli utabaki pale pale CCM wamefake matokeo, hiyo itabaki milele. Historia itamkumbuka Magufuli kama rais aliyeshinda uchaguzi kwa wizi mkubwa sana wa kura. Huu ni ukweli hata wewe unajua.
waacheni waandamane eeeeeh, wajinga hao ccm mbele kwa mbele
tumeipenda wenyewe chaguo letu wenyewe
 
Bramo

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
10,389
Points
2,000
Bramo

Bramo

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2009
10,389 2,000
Mbona wabunge ccm 188 kati ya 264? Hiyo tu ni kiashilio tosha kuwa ushindi wa Ccm ni halali. Mkubali kushindwa.
Mkuu unasahau Ujambazi uliofanywa ma ma SSM
Sehemu nyingi sana wametangazwa kushinda Kwa mabavu na kutumia ma DED
Baada ya Mahakama ku rule kuwa kutumia ma DED kama Maafisa wa NEC ni kinyume na katiba that means hata Mzee Meko Yuko Madarakani kinyume na katiba
 
Forum statistics

Threads 1,307,018
Members 502,311
Posts 31,599,463
Top