Mbowe please Huu Ndio Muda wa Kuleta UKUTA

Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
11,257
21,280
Ni kweli Kwamba UKUTA upo na utaendelea kuishi Ndani ya Nafsi zetu.

Tunateseka sana ndani ya mioyo yetu, hatuna wa kutusaidia, bora watuuwe kuliko hivi.

Inauma sana nchi kuendeshwa kwa MFUMO wa namna hii. Angekuwepo Dkt Slaa am very sure tungeingia Barabarani bila kujali bunduki zao. Ila najua wewe uko strong sana, hebu sema tu basi walau tupate relief.

Ukiendelea kunyamaza hawa wawili watafika Mahali watasema kulala saa 12. Watanzania wengi kwa Sasa wamejiridhisha kua Kumbe UKUTA ilikua na maono Mazuri.

Tunaomba leo Leo mtamke lolote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom