Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 49,681
- 39,012
Wanaukumbi.
Baaada ya uchaguzi kwisha tumeona utendaji wa rais wetu Dr.Magufuli, kwa kiasi kikubwa wananchi wanalidhishwa na utendaji wake.
Upande wa upinzani UKAWA wao wameenda mbali zaidi na kusema kuwa rais Dr.Magufuli anafuata sera zao.
Kama kweli ndiyo UKAWA wanaona Dr.Magufuli anafuata sera zao basi tunamuomba Mbowe kama kiongozi mkuu wa Chadema, baada ya kuunda Baraza lake la Mawaziri Vivuli basi apige marufuku kusafiri nje ya nchi mpaka kibali kitoke kwake ili litaenda sambamba na spidi ya rais Dr.Magufuli ambayo UKAWA wanatuaminisha ni ya kwao.
Nakala: kwa Mwenyekiti wa Chadema.
Freeman Mbowe.
Mtaa wa Ufipa Kinondoni Dar es Salaam.
Tanzania.