johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,599
- 141,415
Mwenyekiti wa Chadema Mbowe anajikuta katika wakati mgumu baada ya ule mpango wake wa kubadili gia angani kufeli.
Ikumbukwe uamuzi wa kumkaribisha Lowassa pale Ufipa ulifanywa na Mbowe peke yake na baafaye kuitaka kamati kuu kubariki uamuzi jambo ambalo Dr Slaa na mkewe walilikataa kabisa.
Kwa sasa ili kuipa uhai Chadema itamlazimu Mbowe kujiuzulu na kubakia kuwa mjumbe wa kamati kuu jambo ambalo ni gumu kulikubali. Wadadisi wanadai ni vema Mbowe ajiuzulu ili nafasi yake ichukuliwe na Sugu au Lisu kabla wawili hao hawajatamani kujiunga na CCM.
Yote kwa yote swali la Dr Slaa limepata jibu.......Lowassa ni liability.
Maendeleo hayana vyama!