Mbowe njia panda! Ama ajiuzulu au CHADEMA isambaratike!

Kadi yako ya CHADEMA namba ngapi we mshauri mkuu wa chama.??? Hivi lumumba hakuna story mpaka mtunge za CHADEMA usiku kucha mchana kutwa? What a shame. Mods tafadhali sana hizi post za aina hii haziwezi kuunganishwa? Tupate content tuliyo kuwa tumeizoea huko nyuma? Maana kila post moja inayofuata ni utumbo kama huu!!!!

Nyie endeleeni tu kumkingia kifua sababu mpo kabila/kanda moja

Chama mwakani kwa hali hii sidhani kama kitachukua viti zaidi ya kumi bungeni. Siasa za upinzani Afrika sio za kupooza na woga woga kama alionao Mbowe

Achukue mwingine kijiti ziwepo amsha amsha mpya, simpingi mbowe sababu ya udikteta bali uwepo uongozi mpya ulete mambo mapya
 
Siasa za Upinzani Afrika hazioani na watu waoga, wote mnajua kuwa Mbowe ni muoga !

Kuna umuhimu kwa wanaoitakia afya ya kisiasa Chadema wafanye ushawishi na kampeni ya kumng'atua Mbowe madarakani

Akiachia Uenyekiti inafaa apewe ujumbe wa kudumu wa kamati kuu ya chama (CC)

Watu kama Kubenea, Lissu, Lwakatare, Kigaila, Meya Jacob wanafaa zaidi katika ile nafasi
Mwenyekiti Lissu
Katibu Jacob
Huo mziki ccm wataomba poo
 
Kamshauri Jiwe awachie uenyekiti kwenye chama chenu
Siasa za Upinzani Afrika hazioani na watu waoga, wote mnajua kuwa Mbowe ni muoga !

Kuna umuhimu kwa wanaoitakia afya ya kisiasa Chadema wafanye ushawishi na kampeni ya kumng'atua Mbowe madarakani

Akiachia Uenyekiti inafaa apewe ujumbe wa kudumu wa kamati kuu ya chama (CC)

Watu kama Kubenea, Lissu, Lwakatare, Kigaila, Meya Jacob wanafaa zaidi katika ile nafasi

In God we Trust
 
Nyie endeleeni tu kumkingia kifua sababu mpo kabila/kanda moja

Chama mwakani kwa hali hii sidhani kama kitachukua viti zaidi ya kumi bungeni. Siasa za upinzani Afrika sio za kupooza na woga woga kama alionao Mbowe

Achukue mwingine kijiti ziwepo amsha amsha mpya, simpingi mbowe sababu ya udikteta bali uwepo uongozi mpya ulete mambo mapya
Kwanini usishitakiwe kwa uchochezi?? Chadema ni mali ya Wanachama na sio hivyo kama unavyofikiria. Wanachama ndio wenye maamuzi na chama chao na sio ninyi waganga njaa wa Lumumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa justification ya Mbowe kukalia kiti ilihali Chama hali yake sio nzuri

Yaani hata Zitto anataka kuwazidi
 
Siasa za Upinzani Afrika hazioani na watu waoga, wote mnajua kuwa Mbowe ni muoga !

Kuna umuhimu kwa wanaoitakia afya ya kisiasa Chadema wafanye ushawishi na kampeni ya kumng'atua Mbowe madarakani

Akiachia Uenyekiti inafaa apewe ujumbe wa kudumu wa kamati kuu ya chama (CC)

Watu kama Kubenea, Lissu, Lwakatare, Kigaila, Meya Jacob wanafaa zaidi katika ile nafasi
Upewe wewe ile sheria ya vyama vya siasa haitoshi Ama kweli hamuishiwi ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...na hata akijivua uenyekiti... Dr. Mbowe bado ana kesi ya kujibu kwa wanademokrasia wa kweli....kwa kuvuruga upinzani uliojengwa kwa zaidi ya 20...kwa tamaa ya fedha mwaka 2015....kasababisha viongozi wa CCM wamekuwa na nguvu kubwa...wamejawa na kiburi na majigambo....wanaafanya wanachotaka na hakuna anapiga kelele...ikiwemo ya yeye kukaa lupango...laana iendelee kumuandama Dr Mbowe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa za Upinzani Afrika hazioani na watu waoga, wote mnajua kuwa Mbowe ni muoga !

Kuna umuhimu kwa wanaoitakia afya ya kisiasa Chadema wafanye ushawishi na kampeni ya kumng'atua Mbowe madarakani

Akiachia Uenyekiti inafaa apewe ujumbe wa kudumu wa kamati kuu ya chama (CC)

Watu kama Kubenea, Lissu, Lwakatare, Kigaila, Meya Jacob wanafaa zaidi katika ile nafasi
Sijui kama unaeleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa aina hii ndio wanaotumwa na mama zao wakamwambie baba yake ampe talaka

Shauri yenu , ukabila/kanda vinadidimiza chama

Wengi walionishambulia kwenye hii thread ni kwa sababu huyo mwenyekiti ni mwenzao either kikabila au kikanda
 
Mimi Mbowe sina nasaba naye kwa kikabila, kikanda, kidini wala kirangi, lakini statistically kuna improvement kila uchaguzi ukifanywa kwa mimi hicho ndio kigezo cha kuaminika kuliko kelele za debe tupu. Unless kama unasema Dar nayo imetawaliwa na Wachaga!
 
Back
Top Bottom