Mbowe: Nitajiuzulu siasa tusipochukua jimbo la Masasi

The biggest mistake Tanzanians could dob in 2015 is to bring back Gambas in State House.
 
Mbowe anasema kuwa CCM ikisalimika 2015 yeye anajiuzuru siasa.

Hizi ni ndoto za mchana Mr Dj jiandae kustaafu siasa kama kweli utafanya hvyo bora haya ungesema 2040 kidogo ningekuelewa.
 
Hizi ni ahadi za mtu asiyefikiria mbali. Ukilinganisha hotuba ya Zitto aliyotoa kwa waTanzania wa USA na haya maneno ya Mbowe, unashangaa kabisa kwa nini bado yeye Mbowe ni mwenyekiti wa CDM. Hivi ni kwa nini watu wenye sifa bora zaidi wasipewe kukiongoza CHADEMA especially sasa hivi CCM inapoyumba-yumba?

Wewe Gamba la kobe peleka ushauri wako Magambani
 
Mbowe kaona mbali jinsi ya kujitoa kwenye siasa katumia njia ya kisomi zaidi...kachoka na Chadema anataka kupumzika.
 
wanataongea na kuwapandisha hasira wa tz ili waichukie ccm,tutafanya kazi kwa bidii kuijenga nchi yetu kwa maoni ya wote pamaoja na wao.wakat wakupiga kampen umepita, barabara, hosp, shule ,umeme na maji vipaumbele vya msingi.
 
Viapo vingine ni vya kisiasa zaidi kuliko viapo vya kweli.

Tulikutana na Mbowe sikuchache kabla ya uzinduzi wa kampeni za Arumeru alisema 'hata kuwa na haja ya kuendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema kama wangeshindwa kuchukua jimbo la Arumeru mashariki' kwasababu wahawakuwa na sababu ya kwanini wasichukue jimbo hilo.......
 
Mbowe kaona mbali jinsi ya kujitoa kwenye siasa katumia njia ya kisomi zaidi...kachoka na Chadema anataka kupumzika.
unajua aliko toka na hiki chama ndiyo ilikuwa shida kuliko anakoenda..Chadema chama tawala kuanzaia 2015....
 
Hizi ni ahadi za mtu asiyefikiria mbali. Ukilinganisha hotuba ya Zitto aliyotoa kwa waTanzania wa USA na haya maneno ya Mbowe, unashangaa kabisa kwa nini bado yeye Mbowe ni mwenyekiti wa CDM. Hivi ni kwa nini watu wenye sifa bora zaidi wasipewe kukiongoza CHADEMA especially sasa hivi CCM inapoyumba-yumba?
Hivi kwanini kichwa panzi kilicho jaa maji ya nazi amepewa kuongoza CCM.
 
wanataongea na kuwapandisha hasira wa tz ili waichukie ccm,tutafanya kazi kwa bidii kuijenga nchi yetu kwa maoni ya wote pamaoja na wao.wakat wakupiga kampen umepita,barabara,hosp,shule ,umeme na maji vipaumbele vya msingi.
Mbowe anajiamini sana, ameshaona hakuna cha kuzuia ushindi wa cdm. Viva chadema, viva Kamanda Mbowe
 
Kusini yote ni ya CHADEMA hilo halina ubishi hata Yule mlemavu wa ngozi jimbo lake tunachukua namuomba sana asitumie ulemavu Kama Kinga (naomba mnisamehe sina nia ya kumkosoa Mungu ila tunataka jimbo tu basi)

wewe si CDM ila ni ccm.Ukiondoa maneno yako ya ubaguzi nitakuunga mkono maana sisi cdm tunahitaji nchi nzima bila kuacha jimbo lolote, liwe kwenye kanda yoyote kati ya hizi( kaskazini, kati, nyanda za juu kusini, ziwa, magharibi na kusini)
 
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema moto uliowashwa na chama hicho katika Operesheni Sangara utaendelea nchi nzima, lengo likiwa ni kuiondoa CCM madarakani na iwapo itasalimika mwaka 2015, atajiuzulu siasa.

.....Je, 2015 wanakuja tena kutuomba kura huyo atakayekuja si ndiyo itakuwa mbaya zaidi, Chadema hatuwezi kukubali na moto huu tuliowasha utaendelea nchi nzima hadi Uchaguzi Mkuu wa 2015 na
kama CCM itasalimika nitajiuzulu siasa.”

Sijui kama ni mwandishi wa gazeti au mleta mada, lakini kuna mmoja amekosea.
Mada ya uzi : Nitajiuzulu siasa tusipochukua jimbo la Masasi
Mada ya gazeti:
moto huu tuliowasha utaendelea nchi nzima hadi Uchaguzi Mkuu wa 2015 na kama CCM itasalimika nitajiuzulu siasa.”

:focus:Si dhani kama ni wazo zuri kwa kiongozi anayetegemewa kuongoza mapambano. Watanzania watakuwa wanamhitaji bila kujali kama CCM imesalimika au imekufa. Hata hivyo, tusubiri tuone.
 
Malanyingi Matukuta Mfuasi wa Chedema unajificha ww tena kumbuka mtumishi wa Mungu upaswi kuogopa kuonesha hisia zako kuliko kusengenya.
Mbona wachungaji wa watumishi wengi wa dini wameingia na kujionesha kwenye siasa iwe CCM au Upinzani??
Ila huyu Mbowe atarudi tu kwenye kazi yake ya Udj pale Billicanas cz ww na yy msitegemee CCM kuondoka Madaraka 2015
Hakuna mwenye uwezo wa kumg'ang'ania Ikulu kama wananchi wakisema hatukutaki na kuna kila ishara za kusema CCM basi na kwa taarifa yako kukitokea mwendawazimu hata leo akanzisha vuguvugu la kuitoa CCM hata kabla ya 2015 mnatoka wananchi wako tayari maana kila kukicha ni afadhari ya jana......
 
hivi hela wanazopata kwenye korosho na gas mtwara zinaendaga wapi

Swali zuri sana lakini hatuana wa kumuuliza maana kikwete ukimuuliza atakwambia hajui labda tumuulize Ngereja inawezekana ndiyo hizi wanajengea magorofa.....
 
Back
Top Bottom