Mbowe: Nilijaribu kumzuia Lucy Owenya kuchangia Bungeni

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,385
24,939
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe amesema alipopata taarifa ya kifo chaMbunge wa zamani wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo alijaribu kumzuia mtoto wa marehemu, Lucy Owenya asichangie bungeni lakini alishindwa.

Mbowe ameyasema hayo leo Jumatano wakati akilitangazia bunge kuhusu kifo cha Mwenyekiti huyo wa Chadema, mkoa wa Kilimanjaro. Owenya ni mbunge wa viti maalum wa chama hicho na mtoto wa kada huyo mkongwe wa Chadema.

"Ilipofika zamu yake kuchangia nilimruka hata akalalamika inakuwaje wakati alitakiwa atoe maoni yake. "Tushirikiane na familia ya marehemu ambaye alihudumu kwenye bunge hili kukamilisha taratibu zilizobaki,"
amesema Chenge.
 
Bro; ukishavuka 70/75 hii miili ina complications sana. Anything can happen unexpectedly. Unaweza kuwaaga wajukuu sebuleni naingia chumbani kupumzika tena kwa bashasha na ikawa for good. ZBwana uasema, kesheni mkiomba m
ana yuaja kama mwivi.
Umeongea kwa usahihi 100%
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom