#COVID19 Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

Ndivyo vinavyowaingizia ruzuku sasa hivi au haufahamu mkuu hilo? Fuatilia utabaini kibindo mficho kina mambo
Hauendani na username yako...... This is the dumbest comment ever. "Ruzuku" inaingiaje wakati Mama keshakiri corona ipo na yupo tayari kutoa takwimu WHO?
 
Kwa hiyo ushakaririshwa madudu kuwa ugonjwa wa corona ni kosa kutoa taarifa huo ni ugonjwa kama magonjwa mengine yanayoua binadamu...
 
Ugonjwa huu si sawa na ukimwi ambao mtu unaweza kujipanga kutougua.

Kuchanjwa kachanjwa Freeman. Alikwambia familia yote imechanjwa? Kuchanjwa dhidi ya ugonjwa hakuna maana ya kutokuugua.

Katika jamii ambayo haichukui tahadhari hayupo aliye salama.

Nilitarajia familia nzima ya Mbowe wawe wameshachanjwa,na sisi wengine tungejifunza kupitia kwao,kama alichanjwa M/Kiti peke yake ndani ya familia na wengine wamebaki “hawachukui tahadhari” kama sisi wengine basi kuna tatizo kubwa sana.
 
Ambao hawakuamini mbona ndiyo wanakufa sasa! katika watu wote The Mbowe’s wanapaswa kuwa exceptional kufa kwa Corona ukizingatia wamefuata taratibu zote za kisayansi kujikinga,mbona sasa inakuwa kinyume chake.
Hizo ni miongoni mean dua mbaya kwa watu wema.kutoka kwa walio amini katika propaganda umizi na zilizoficha taarifa muhimu kwa manufaa ya kisiasa. Na sasa viashiria vya mienendo ile vinaaza kuchipua miongoni miongoni mwa Wana mbogamboga. Tiba pekee ya maginjwa haya, katiba mpya mizizi ikiwa ni ile ya mzee mzalendo Jaji mstaafu Warioba.
 
Nilitarajia familia nzima ya Mbowe wawe wameshachanjwa,na sisi wengine tungejifunza kupitia kwao,kama alichanjwa M/Kiti peke yake ndani ya familia na wengine wamebaki “hawachukui tahadhari” kama sisi wengine basi kuna tatizo kubwa sana.

Wengi tunaisubiri chanjo hapa. Hatuna haja ya kuwapa biashara mabeberu kwenye madege kufuata chanjo huko.

Mheshimiwa ana biashara zake huko. Sekeseke la mtu pori enzi zake za kutaka wengine kuishi kama mashetani ila yeye?
 
Charles mbowe hakuchanjwa?
 
Hauendani na username yako...... This is the dumbest comment ever. "Ruzuku" inaingiaje wakati Mama keshakiri corona ipo na yupo tayari kutoa takwimu WHO
Haulazimiki kujibu kama unaona username yangu haiendani na miye kwani ndio utanibadilisha?

Ameshatoa hizo takwimu unazodai?

Kuna idadi ya wangapi wana UVIKO, hospitali zipi na maendeleo yao yakoje?

Huelewi chochote iacha ukatumukizwe kwenye shimo la kuzimu
 
Nilitarajia familia nzima ya Mbowe wawe wameshachanjwa,na sisi wengine tungejifunza kupitia kwao,kama alichanjwa M/Kiti peke yake ndani ya familia na wengine wamebaki “hawachukui tahadhari” kama sisi wengine basi kuna tatizo kubwa sana.
Chanjo Tanzania Ni lazima au hiari tuanzie hapo.
 
Ungekuwa mwanasiasa ndio ungeona U special wa kutumia hicho kifo kisiasa.
Yaani kutadhalisha watu wasije wengi kuzika kwa marehem kufa kwa Corona ni kutumia kifo kisiasa siyo. Ndiyo tatizo la kuwa na ubongo ulio mapooza
 
Mbowe aliletewa na Samia

"Wewe nasema." -- alisikika nabii Issa.

IMG_20210709_194014_987.jpg
 
Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona!

Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona?

Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na

1. Waziri mkuu
2. Rais
3. Waziri wa afya
4. Madaktari

Je, Mbowe ni nani kati ya hao?

Licha ya hivyo Mbowe haaminiki mbele ya uma wa Tanzania tokea siku ile alipoangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia kuwa amepigwa na wasiojulikana ili tu apate kiki kisiasa.

View attachment 1846603
Mkuu mbona unaishi maisha magumu sana kiasi hiki? Ukichukia Mbowe kutangaza sababu ya kifo cha kaka yake utakuwa waishi maisha yasiyo na furaha kabisa hapa duniani.
 
Mleta mada ni takatak* Kama zilivyo nyingine Kati ya masalia yaan anaamini katika uongo milele sheenz
 
Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona!

Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona?

Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na

1. Waziri mkuu
2. Rais
3. Waziri wa afya
4. Madaktari

Je, Mbowe ni nani kati ya hao?

Licha ya hivyo Mbowe haaminiki mbele ya uma wa Tanzania tokea siku ile alipoangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia kuwa amepigwa na wasiojulikana ili tu apate kiki kisiasa.

View attachment 1846603
Kaka wa marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi naona yuko sahihi kabisa, ili iwe tahadhari kwa wanaokwenda kutoa pole...hata wewe mleta mada ndugu yako yakimkuta kama hayo unapaswa kuwatangazia na kuwapa ukweli ili watoa pole wajihadhari na kujilinda....sasa ukificha sindio utamaliza watu!!!! Vitu vingine bwana ni kujiongeza tuuu, sio lazima serikali.....
 
Back
Top Bottom