#COVID19 Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona!

Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona?

Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na

1. Waziri mkuu
2. Rais
3. Waziri wa afya
4. Madaktari

Je, Mbowe ni nani kati ya hao?

Licha ya hivyo Mbowe haaminiki mbele ya uma wa Tanzania tokea siku ile alipoangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia kuwa amepigwa na wasiojulikana ili tu apate kiki kisiasa.

View attachment 1846603
Kanuni ya kiroho inafanya kazi: Tanzania tulishaponywa corona na Mungu baada ya kumtanguliza Mungu na kumwomba na akàtuponya. Lakini wapo wanaoukataa ukweli huu akaiwemo Mbowe. Kwa kukataa kwao wameifungulia mlango corona kwenye maisha yao na kwenye familia zao!! Hizo chanjo na barakoa anazozitumainia hàzitamwokoà! Kuna roho chafu ya mauti nyuma ya corona ambayo huwezi kuizuià kwa chanjo wala barakoa wala social distancing wala lockdown! Wanaobeza uponyaji wa Mungu kwa Tanzania kuhusu corona jiandàeni!! Ni toba tu itakayowaponya!! Waanaoamini na kikiri hadharani kuwa Mungu ametuponya na corona mtabaki salamà!!
 
2815030_2799136_1622926778129.png
Ulitaka awapige watu fix kama hizi?
 
Ujinga wako upeleke huko FB mnashusha credibility ya JF. Sasa mtu upo JF mwaka mmoja tu ila kujifanya mjuaji ndio madhara yake....

JF ya 2008-12 ilikua ni kisima cha facts na great thinkers. Kama hauna facts lazima u comment?

Pitia mitandao kma Quora au Reddit then uone kma unaweza post ujinga kama huu!! U just get downvoted na post inafutwa kma sio fact.

Umenikera mnoo ssa CHADEMA inanufaika nini Covid 19 ikiwepo? Kwamba wao ndio hawataweza kufa? Mimi ni CHADEMA damu lakini Covid 19 ilipiga familia yetu ile February ssa leo hii ikirudi tufurahi ili iweje??

You're such a c*nt tbh
Asante sana kwa matusi yako lakini yatakurudia mwenyewe na hutapumua
 
Kwa kauli alizozitoa mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mwanza jana kwenye kipindi cha Star V big agenda bila shaka ni kweli kabisa ndani ya ccm kulikuwa na mafisadi yq kutisha na Magufuli aliyabananga vizuri na sasa yameanza kupata nafuu mbele ya rais Samia.

Ikumbukwe baada tu ya kuingia madarakani Magufuli alianzisha kampeni ya kurudisha mali za chama na kukifanya chama cha mapinduzi kujitegemea katika kila kitu. Ccm ilitoka kukusanya millioni 5 kwa mwaka hadi kufikia billion 20!!
Mali za ccm zilikuwa zimekaliwa na kutafunwa na vigogo akiwemo huyo Diallo.
 
Na familia zingine ziufuate mfano huu wa Mbowe.Hakuna sababu ya kuficha ugonjwa uliomuondoa mwanafamilia.
 
Back
Top Bottom