Mbowe ni Mwenyekiti wa chama, ex mbunge na KUB hivyo si haki kumlinganisha na Ole sabaya, kesi ya Freeman wanajaa mabalozi ya Ole wanajaa Wamasai!

Eti miamba....yaani unamuona Sabaya mwamba? mtu anayejitetea asifungwe kwa sababu ndiyo kwanza ametoa mahari ? Hata kujitetea hawezi
Ndo nimeingia Tengeru saa8 usiku saivi naulizia nyumba ya wazazi nshajipanga kabisa SITOI MAHARI maana ishalipwa
FB_IMG_1634317877516.jpg
 
Natoa tu angalizo kwa wale wanaodhani eti Freeman Mbowe atafungwa ili kubalance equation kati yake na Ole sabaya.

Niwakumbushe tu kuwa hizi ni kesi mbili tofauti kabisa na hata hadhi za Washtakiwa, Mawakili na Mahakama ni tofauti kabisa.
Kesi ya Mbowe ni ya kitaifa lakini imebeba sura ya kimataifa kwa sababu inafuatiliwa na dunia kwa kupitia balozi mbalimbali.

Kesi ya Sabaya ilikuwa ya kimkoa lakini ilibeba sura ya kiwilaya na ndio maana mahakama ya wilaya walikuwa wanajazana Wamasai na Wameru haikuwavutia hata jirani zetu Kenya.

Ya Ole sabaya yameshakamilika.

Nawatakia Sabato yenye baraka!
Uko sahihi kabisa. Sabaya hata wananchi walishamhukumu kabla ya mahakama (kama ulimsikia yule bibi na wengine wengi). Ukisikiliza maoni ya wananchi juu ya kesi ya Mbowe, unapata majibu.
 
Kwa yaliyompata Sabaya, Mbowe ajiandae kisaikolojia, lolote linaweza kutokea....
Mara paaaaaàp miamba miwili inakuta Mbowe na Sabaya...
Mkuu nadhani si sahihi kuwalinganisha kuanzia kihadhi mpaka aina ya majukumu waliyokuwa nayo hawa watajwa. Nachelea kusema kuwa Sabaya si mwamba bali Freeman Mbowe hakika ni mwamba na case yake dunia ya kidemokrasia inaifuatilia.
 
Natoa tu angalizo kwa wale wanaodhani eti Freeman Mbowe atafungwa ili kubalance equation kati yake na Ole sabaya.

Niwakumbushe tu kuwa hizi ni kesi mbili tofauti kabisa na hata hadhi za Washtakiwa, Mawakili na Mahakama ni tofauti kabisa.
Kesi ya Mbowe ni ya kitaifa lakini imebeba sura ya kimataifa kwa sababu inafuatiliwa na dunia kwa kupitia balozi mbalimbali.

Kesi ya Sabaya ilikuwa ya kimkoa lakini ilibeba sura ya kiwilaya na ndio maana mahakama ya wilaya walikuwa wanajazana Wamasai na Wameru haikuwavutia hata jirani zetu Kenya.

Ya Ole sabaya yameshakamilika.

Nawatakia Sabato yenye baraka!
acha upumbavu we mtu mzima vyo MHALIFU NI MHALFU TU hamna status
 
Eti miamba....yaani unamuona Sabaya mwamba? mtu anayejitetea asifungwe kwa sababu ndiyo kwanza ametoa mahari ? Hata kujitetea hawezi
Miamba nadhani ni neno lenye maana nyingi ikiwemo umaarufu. Kushindwa kujitetea haiondoi Umwamba wake, mbona ipo Miamba kibao haiwezi kutongoza mwanamke lakini bado unawaona ni miamba.
 
Mkuu nadhani si sahihi kuwalinganisha kuanzia kihadhi mpaka aina ya majukumu waliyokuwa nayo hawa watajwa. Nachelea kusema kuwa Sabaya si mwamba bali Freeman Mbowe hakika ni mwamba na case yake dunia ya kidemokrasia inaifuatilia.
Neno Mwamba lina maana nyingi ikiwemo umaarufu halafu wote wanasiasa. Wapi nimekosea kuwafananisha?
 
Natoa tu angalizo kwa wale wanaodhani eti Freeman Mbowe atafungwa ili kubalance equation kati yake na Ole sabaya.

Niwakumbushe tu kuwa hizi ni kesi mbili tofauti kabisa na hata hadhi za Washtakiwa, Mawakili na Mahakama ni tofauti kabisa.
Kesi ya Mbowe ni ya kitaifa lakini imebeba sura ya kimataifa kwa sababu inafuatiliwa na dunia kwa kupitia balozi mbalimbali.

Kesi ya Sabaya ilikuwa ya kimkoa lakini ilibeba sura ya kiwilaya na ndio maana mahakama ya wilaya walikuwa wanajazana Wamasai na Wameru haikuwavutia hata jirani zetu Kenya.

Ya Ole sabaya yameshakamilika.

Nawatakia Sabato yenye baraka!

Mkuu huwa kuna taarifa za dish lako kuyumba yumba kwa nyakati fulani fulani. Naomba kukuthibitishia leo liko timamu 😁😁.
 
John mbatizaji siku anapomeza dawa za kutuliza ubongo wake!
Maana CCM walishamtoaga mwanzo na kuuhifadhi kwenye stoo za LUMUMBA ila akaja stukia mchezo na kuwahishwa matibabu!

Leo dawa zinafanya Kazi sawia!
😁😁😁😁
 
Miamba nadhani ni neno lenye maana nyingi ikiwemo umaarufu. Kushindwa kujitetea haiondoi Umwamba wake, mbona ipo Miamba kibao haiwezi kutongoza mwanamke lakini bado unawaona ni miamba.
kwa tafsiri ya kwenu. kwa tafsiri ya ulimwengu mwamba inaanisha shujaa
 
Back
Top Bottom