Mbowe ni mwanasiasa wa ukweli kwa sasa hapa Tanzania

cantonna

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,120
439
Ukubali ukatae lakini huu ndo ukweli..... Ukirudi miaka kumi na tano nyuma upunzani ulikuwa hauna nguvu kama ulivyo kwa sasa, Huyu Mbowe ndo kapigana hadi leo hii tunauona upinzani ulivyo ni jitihada zake!!

Pamoja na watu kuponda elimu yake, lakini tunaona namna wanavyohaha kuzima upinzani, tangu Mbiwe ashike wadhifa wa umwenyekiti wa cdm ameijenga cdm na kuijulisha kila kona na sasa matunda tunayaona!! Maamuzi ambayo mara nyingine huwa ni magumu Mbowe huwa haogopi kuyachukua na kuyafanyia kazi na kukifanya chama kuwa tishio kwa watawala!!!
Kiukweli ukisema mwanasiasa wa ukweli ambaye maamuzi yake yanaweza isimamisha nchi ni Mbowe pekee!!!

Upinzani tunaouona leo hii, ambao mkuu wa kaya anahaha kuuzima nu moto wa Mh. Mbowe sasa nashangaa vibaraka wa buku saba ambao wanakesha mtandaoni kumponda wakati mkuu wa kaya hapati usingizi juu ya upinzani uliojengwa juu ya imaya ya Mh.Mbowe!!

Ubora wa upinzani huonekana na ndiyo maana kwa sasa kila mbunge wa ccm anaposimama kuchangia hoja ni lazima kuwataja ukawa coz wanajua kuwa wao peke yao hawana uwexo wa kujenga hoja hata kidogo!!

NI MTIZAMO TU MSIJENGE CHUKI!!
 
Back
Top Bottom