Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
- Thread starter
- #61
Inakuhusu nini wewe lumumba? Au unataka ukamroge kwa rupia ili siku ya kurudisha form aingie mitini?
In God we Trust
Mkiulizwa mgombea uraisnakuwa wakali. Jibuni swali acha kutisha wanna jf ili wasiulize mgombea was CDM.
Sent using Jamii Forums mobile app
In God we Trust