Mbowe ni mti wenye matunda mazuri na matamu kwa sasa hapa Tanzania

kipande

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,268
2,000
Asante sana mkuu kwa ushauri wako wenye mantiki, ila popote pale iwe ndani ya ccm au chama chochote kile cha siasa ujue mwenyekiti inabidi alindwe.

Haiwezekani tukae kimya wakati mwenyekiti wetu kila siku anavunjiwa heshima kwa makusudi na wana propaganda wa lumumba.

Hata hivyo asante sana kwa ushauri mzuri usiyo egamia upande wowote.

In God we Trust
Mwenyekiti wenu hajavunjiwa heshima na vijana wa lumumba, msihamishe magoli. Tuhuma zake zimewekwa wazi na wabunge wenu wenyewe waliokua ndani ya hiko chama ambao walikua wakihudhuria kwenye vikao vyote vya Chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Idd Ninga

Verified Member
Nov 18, 2012
4,423
2,000
ila kweli umekosa picha ya kuweka hadi uweke picha ya mwaka mpya,isije kuwa sasa ndo upo nyuma zaidi,2G
 
Top Bottom