Mbowe ni mti wenye matunda mazuri na matamu kwa sasa hapa Tanzania

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
6,864
2,000
Vijana wa cdm wanatumia akili na busara nyingi kuliko nyinyi uvccm ambao kila mtu kwenu anasharubu kama nyumba ya kambale

In God we Trust
Ndiyo maana kambare havuliwi kirahisi, iwapo kweli unamjua.

Mmawia, hoja gani ya kitaifa vijana wa CHADEMA wameitetea ikakubalika, zaidi ya kuoneshana ubingwa wa matusi?
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
6,864
2,000
Corona pia ni hujuma za mabeberu nafurahi kwa sababu hamjavaa barakoa ila ugonjwa huu upo zingatieni washauri wa wizara ya afya washauri wanasema vaeni barakoa

Haya maneno yote ni kinywa cha mtu mmoja magufuli na nimuongo sana
Kama ni maneno ya mt mmoja, ukimwita mwongo, zingatia ya mtu mkweli wako kujikinga dhidi ya maambukizi ya COVID-19.
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
6,864
2,000
MBOWE NI MTI WENYE MATUNDA

WANAOHAMA Chadema kwenda CCM walishagundua kwamba, ili upate Mapokezi ya Wana-CCM yenye Shangwe na Ndelemo kama hayo anayoyashangaa Lijuakali huko Jimboni kwao Kilombelo ni sharti umtukane na kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe.

Matusi na Udhalilishaji unaofanywa dhidi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe unahusu kula Fedha za Chama na zaidi kwamba anang'ang'ania Uenyekiti wa Chama.

Utadhani Mbowe ndiye Kiongozi pekee anayehusika na taratibu za Matumizi ya Fedha za Chama hiki ama anaupata huu Uenyekiti kwa kujipachika ama kujiteua mwenyewe kwa lazima.

Hata wahusika (Custodians) wa Mali za Chama ikiwemo hizo Fedha za Chama ambao ni Makatibu Wakuu wa Chama kuanzia kwa Dr Slaa, Dr Mashinji mpaka wa sasa Mhe.Mnyika, hayupo anayewaza kama na wao wanaweza kuwa wahusika kwenye ulaji huu, ila Mbowe peke yake ndiye anayekula Fedha za Chama.

Ukiwaachilia mbali hawa Custodians, wapo pia Maafisa wa Chama wengi tu wanaohusika na masuala ya Fedha kwenye Chama kama ilivyo kwenye Taasisi nyingine yoyote ile, lakini hawa wanaohama Chama wanamuona Mwenyekiti Mbowe pekee kama mlaji wa Fedha za Chama.

Aidha, kabla hujafika kwa Maafisa wa Chama wanaofanya Kazi kwenye Idara ya Fedha, yupo Mtaalam wa Fedha anayeitwa Mhasibu. Huyu naye hajawahi kuonekana popote Machoni pa Wahamaji kama Mhusika wa kula Fedha za Chama, ila Mbowe peke yake ndiye mlaji wa Fedha za Chadema.

Lakini, jambo kubwa zaidi linaloishangaza Dunia nzima na Viumbe vilivyomo, ni jinsi gani Mkaguzi wa Serikali ya Magufuli (CAG Kichele) ameshindwa kuona jinsi Mbowe alivyokula Fedha za Chadema hata akafikia uamuzi wa kuipa Chadema Hati Safi baada ya Ukaguzi wake.

Kwamba, hawa wanaoshupaza shingo kuwa Mbowe amekula Fedha za Chama, wanataka kutuambia kwamba, CAG wa Serikali ya Magufuli siku hizi anampenda sana Mbowe na hata Mbowe akionekana amekula Fedha za Chadema inayoisumbua CCM anamuacha tu bila kumchukulia hatua na anatoa Hati Safi kwa Chadema.

Vijana wengi ambao tunaonekana leo hii Kisiasa, tumelelewa kwenye Mikono ya Uongozi wa huyu Freeman Mbowe tunayemtukana na kumdhalilisha pale tunapopata Mlango wa pili wa kutokea pale tulipoingilia.

Wahamaji wa Chama hiki karibia wote, wamekubali kuhama kwa kulishwa maneno ya Udhalilishaji kwa Maslahi ya CCM na Watu wao badala ya kuusema ukweli wa nafsi zao juu ya kwa nini wanahama kutoka Chadema.

Mwenyekiti Mbowe akubali apigwe Mawe ili tusonge mbele kama Chama, maana yeye ndiye tumemkabidhi jukumu hili la kutukanwa na kudhalilishwa kwa niaba yetu.

Msiogope!

Mapambano yanaendelea!

Watashindana na Chadema lakini kamwe hawatashinda.

In God we Trust
Huyo Mwamba wenu ajibu tuhuma za wabunge aliowafukuza na waliohama dhidi yake la sivyo ifikapo wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, wagombea wake watapata shida sana kujibu maswali yetu. Kuna tuhuma:
√ kusema uwongo;
√ kutunga na kueneza uzushi;
√ ufisadi/matumizi mabaya ya ruzuku na michango ya wabunge;
√ rushwa ya ngono;
√ upendeleo katika kuteua wagombea;
√ na mengineyo mengi yanayohusu kutokuheshimu Katiba ya Chama, Demokrasia ndani ya chama, nk.

NAWASILISHA
 
Ngapulila

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
712
1,000

Ni huyuhuyu anayetuhumiwa kuwa mtawala wa kiimla CDM???
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
86,522
2,000
Wewe tulisha kutupa kwenye dust bin ya wenye uhaba wa hoja zenye mashiko
Huyo Mwamba wenu ajibu tuhuma za wabunge aliowafukuza na waliohama dhidi yake la sivyo ifikapo wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, wagombea wake watapata shida sana kujibu maswali yetu. Kuna tuhuma:
√ kusema uwongo;
√ kutunga na kueneza uzushi;
√ ufisadi/matumizi mabaya ya ruzuku na michango ya wabunge;
√ rushwa ya ngono;
√ upendeleo katika kuteua wagombea;
√ na mengineyo mengi yanayohusu kutokuheshimu Katiba ya Chama, Demokrasia ndani ya chama, nk.

NAWASILISHA
In God we Trust
 
mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,060
2,000
makamanda itakua Wana fungu lao Hawa Wana tuchora Mana Wana guard vibaya Kama beki za atletical eti mti wenye matunda et wadau hayo yatakua matunda gani Mana kila mtu lazima Arushe jiwe au ni ma apple
MBOWE NI MTI WENYE MATUNDA

WANAOHAMA Chadema kwenda CCM walishagundua kwamba, ili upate Mapokezi ya Wana-CCM yenye Shangwe na Ndelemo kama hayo anayoyashangaa Lijuakali huko Jimboni kwao Kilombelo ni sharti umtukane na kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe.

Matusi na Udhalilishaji unaofanywa dhidi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe unahusu kula Fedha za Chama na zaidi kwamba anang'ang'ania Uenyekiti wa Chama.

Utadhani Mbowe ndiye Kiongozi pekee anayehusika na taratibu za Matumizi ya Fedha za Chama hiki ama anaupata huu Uenyekiti kwa kujipachika ama kujiteua mwenyewe kwa lazima.

Hata wahusika (Custodians) wa Mali za Chama ikiwemo hizo Fedha za Chama ambao ni Makatibu Wakuu wa Chama kuanzia kwa Dr Slaa, Dr Mashinji mpaka wa sasa Mhe.Mnyika, hayupo anayewaza kama na wao wanaweza kuwa wahusika kwenye ulaji huu, ila Mbowe peke yake ndiye anayekula Fedha za Chama.

Ukiwaachilia mbali hawa Custodians, wapo pia Maafisa wa Chama wengi tu wanaohusika na masuala ya Fedha kwenye Chama kama ilivyo kwenye Taasisi nyingine yoyote ile, lakini hawa wanaohama Chama wanamuona Mwenyekiti Mbowe pekee kama mlaji wa Fedha za Chama.

Aidha, kabla hujafika kwa Maafisa wa Chama wanaofanya Kazi kwenye Idara ya Fedha, yupo Mtaalam wa Fedha anayeitwa Mhasibu. Huyu naye hajawahi kuonekana popote Machoni pa Wahamaji kama Mhusika wa kula Fedha za Chama, ila Mbowe peke yake ndiye mlaji wa Fedha za Chadema.

Lakini, jambo kubwa zaidi linaloishangaza Dunia nzima na Viumbe vilivyomo, ni jinsi gani Mkaguzi wa Serikali ya Magufuli (CAG Kichele) ameshindwa kuona jinsi Mbowe alivyokula Fedha za Chadema hata akafikia uamuzi wa kuipa Chadema Hati Safi baada ya Ukaguzi wake.

Kwamba, hawa wanaoshupaza shingo kuwa Mbowe amekula Fedha za Chama, wanataka kutuambia kwamba, CAG wa Serikali ya Magufuli siku hizi anampenda sana Mbowe na hata Mbowe akionekana amekula Fedha za Chadema inayoisumbua CCM anamuacha tu bila kumchukulia hatua na anatoa Hati Safi kwa Chadema.

Vijana wengi ambao tunaonekana leo hii Kisiasa, tumelelewa kwenye Mikono ya Uongozi wa huyu Freeman Mbowe tunayemtukana na kumdhalilisha pale tunapopata Mlango wa pili wa kutokea pale tulipoingilia.

Wahamaji wa Chama hiki karibia wote, wamekubali kuhama kwa kulishwa maneno ya Udhalilishaji kwa Maslahi ya CCM na Watu wao badala ya kuusema ukweli wa nafsi zao juu ya kwa nini wanahama kutoka Chadema.

Mwenyekiti Mbowe akubali apigwe Mawe ili tusonge mbele kama Chama, maana yeye ndiye tumemkabidhi jukumu hili la kutukanwa na kudhalilishwa kwa niaba yetu.

Msiogope!

Mapambano yanaendelea!

Watashindana na Chadema lakini kamwe hawatashinda.

In God we Trust
Sent using Jamii Forums mobile app
 
BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
1,196
2,000
Naomba nitofautiane na wewe kidogo, mbowe ni malayer wa siasa rejea gia anazo badilishiaga angani
 
mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
6,864
2,000
Wewe tulisha kutupa kwenye dust bin ya wenye uhaba wa hoja zenye mashiko

In God we Trust
Kama watu wanasoma na kusikiliza udaku wa vijiweni unaoletwa humu JF na vijana waliolishwa matango pori, itakuwa hilo ulilolisema!

Muda wa ukweli na uwongo hauko mbali. Zamu hii kuna viongozi, badala ya kuomba radhi ya kusema uwongo muda wote, watalia na kusaga meno.

Fumbo mfumbie mjinga ...
 
Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,217
2,000
MBOWE NI MTI WENYE MATUNDA

WANAOHAMA Chadema kwenda CCM walishagundua kwamba, ili upate Mapokezi ya Wana-CCM yenye Shangwe na Ndelemo kama hayo anayoyashangaa Lijuakali huko Jimboni kwao Kilombelo ni sharti umtukane na kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe.

Matusi na Udhalilishaji unaofanywa dhidi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe unahusu kula Fedha za Chama na zaidi kwamba anang'ang'ania Uenyekiti wa Chama.

Utadhani Mbowe ndiye Kiongozi pekee anayehusika na taratibu za Matumizi ya Fedha za Chama hiki ama anaupata huu Uenyekiti kwa kujipachika ama kujiteua mwenyewe kwa lazima.

Hata wahusika (Custodians) wa Mali za Chama ikiwemo hizo Fedha za Chama ambao ni Makatibu Wakuu wa Chama kuanzia kwa Dr Slaa, Dr Mashinji mpaka wa sasa Mhe.Mnyika, hayupo anayewaza kama na wao wanaweza kuwa wahusika kwenye ulaji huu, ila Mbowe peke yake ndiye anayekula Fedha za Chama.

Ukiwaachilia mbali hawa Custodians, wapo pia Maafisa wa Chama wengi tu wanaohusika na masuala ya Fedha kwenye Chama kama ilivyo kwenye Taasisi nyingine yoyote ile, lakini hawa wanaohama Chama wanamuona Mwenyekiti Mbowe pekee kama mlaji wa Fedha za Chama.

Aidha, kabla hujafika kwa Maafisa wa Chama wanaofanya Kazi kwenye Idara ya Fedha, yupo Mtaalam wa Fedha anayeitwa Mhasibu. Huyu naye hajawahi kuonekana popote Machoni pa Wahamaji kama Mhusika wa kula Fedha za Chama, ila Mbowe peke yake ndiye mlaji wa Fedha za Chadema.

Lakini, jambo kubwa zaidi linaloishangaza Dunia nzima na Viumbe vilivyomo, ni jinsi gani Mkaguzi wa Serikali ya Magufuli (CAG Kichele) ameshindwa kuona jinsi Mbowe alivyokula Fedha za Chadema hata akafikia uamuzi wa kuipa Chadema Hati Safi baada ya Ukaguzi wake.

Kwamba, hawa wanaoshupaza shingo kuwa Mbowe amekula Fedha za Chama, wanataka kutuambia kwamba, CAG wa Serikali ya Magufuli siku hizi anampenda sana Mbowe na hata Mbowe akionekana amekula Fedha za Chadema inayoisumbua CCM anamuacha tu bila kumchukulia hatua na anatoa Hati Safi kwa Chadema.

Vijana wengi ambao tunaonekana leo hii Kisiasa, tumelelewa kwenye Mikono ya Uongozi wa huyu Freeman Mbowe tunayemtukana na kumdhalilisha pale tunapopata Mlango wa pili wa kutokea pale tulipoingilia.

Wahamaji wa Chama hiki karibia wote, wamekubali kuhama kwa kulishwa maneno ya Udhalilishaji kwa Maslahi ya CCM na Watu wao badala ya kuusema ukweli wa nafsi zao juu ya kwa nini wanahama kutoka Chadema.

Mwenyekiti Mbowe akubali apigwe Mawe ili tusonge mbele kama Chama, maana yeye ndiye tumemkabidhi jukumu hili la kutukanwa na kudhalilishwa kwa niaba yetu.

Msiogope!

Mapambano yanaendelea!

Watashindana na Chadema lakini kamwe hawatashinda.

In God we Trust
Umeshawahi kuyala hayo matunda?
 
kipande

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,268

Duh!! Mna ujasiri wa hali ya juu. Kutetea uovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mr chopa

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
3,172
2,000
Huyo Mwamba wenu ajibu tuhuma za wabunge aliowafukuza na waliohama dhidi yake la sivyo ifikapo wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, wagombea wake watapata shida sana kujibu maswali yetu. Kuna tuhuma:
√ kusema uwongo;
√ kutunga na kueneza uzushi;
√ ufisadi/matumizi mabaya ya ruzuku na michango ya wabunge;
√ rushwa ya ngono;
√ upendeleo katika kuteua wagombea;
√ na mengineyo mengi yanayohusu kutokuheshimu Katiba ya Chama, Demokrasia ndani ya chama, nk.

NAWASILISHA
Duh Mr DJ ana kashfa hivi mbona hatari hii
 
Top Bottom