Mbowe ni mti wenye matunda mazuri na matamu kwa sasa hapa Tanzania

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
6,864
2,000
Mmawia ccm wamewaingiza kwenye mtego ambao hauna tija sana kwa ustawi wa chama.

Wameingiza kwenye mtego wa kuifanya CHADEMA kuwa ni Mbowe na Mbowe ndiyo CHADEMA yenyewe hivyo madhaifu ya Mbowe yanageuka kuwa madhaifu ya CHADEMA.

Kwa wiki ya pili sasa Vijana wa CHADEMA badala ya kujadili hoja za msingi kwa kitaifa na kutetea sera za chama mko busy kumtetea Mbowe.

Mbowe anajitetea mwenyewe kwa jinsi anavyojipambanua katika harakati zake za siasa hatuhitaji magazeti marefu namna hii kumsafisha mtu ambaye hajachafuliwa na wala hatachafuliwa.

Hoja za msingi kama Tume huru ya Uchaguzi, athari za uchumi kutokana na Covid19 na namna gani ccm na serikali yake wameshindwa kusaidia wananchi hamzijadili mko busy kujibu mapambio ya ZERO BRAINS wa Lumumba wanaojaribu kuturnish image ya Mbowe kwenye siasa.

Huu mtego mkikubali kujichomeka kichwa kichwa mtaingia kwenye uchaguzi mkiwa unprepared na image ya chama itakuwa turnished na nyinyi wenyewe kuruhusu image ya chama ipakwe sura ya individual politician.

Hiyo Team yenu ya propaganda na uhamasishaji chini ya ALLY HEMEDY mmefeli sana this time around sijui mmepotezea wapi uwezo wenu wa kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui ni maagizo ya Kamati Kuu ya chama kama ilivyoagiza Wabunge wasusie Bunge la mwisho na la Bajeti, wakijua kuwa bila bajeti Serikali ingekwama kwenye shughuli zake na kumpana na korona.

Kwamba hao vijana wangejikita kwenye masula ya Kitaifa kana kwamba uwezo huo wanao? Nitakutolea mifano miwili kuthibitisha kuwa vijana wa CHADEMA wa mitandao ya kijamii uwezo wao ni matusi kama walivyo viongozi wao
1) CHADEMA Ilizindua Sera zake kwa mbwembwe, hadi leo vijana wake wamekwama kuxitetea
2) Juzi Mbowe alitangazia Taifa, kama mkuu wa nchi. Vijana wake wameshindwa kutetea hoja zake.
3) Uchaguzi mkuu unakaribia, bado chama hakijajipanga vijana waingie kazini kama wanao uwezo.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
86,522
2,000
Vijana wa cdm wanatumia akili na busara nyingi kuliko nyinyi uvccm ambao kila mtu kwenu anasharubu kama nyumba ya kambale
Kama hujui ni maagizo ya Kamati Kuu ya chama kama ilivyoagiza Wabunge wasusie Bunge la mwisho na la Bajeti, wakijua kuwa bila bajeti Serikali ingekwama kwenye shughuli zake na kumpana na korona.

Kwamba hao vijana wangejikita kwenye masula ya Kitaifa kana kwamba uwezo huo wanao? Nitakutolea mifano miwili kuthibitisha kuwa vijana wa CHADEMA wa mitandao ya kijamii uwezo wao ni matusi kama walivyo viongozi wao
1) CHADEMA Ilizindua Sera zake kwa mbwembwe, hadi leo vijana wake wamekwama kuxitetea
2) Juzi Mbowe alitangazia Taifa, kama mkuu wa nchi. Vijana wake wameshindwa kutetea hoja zake.
3) Uchaguzi mkuu unakaribia, bado chama hakijajipanga vijana waingie kazini kama wanao uwezo.
In God we Trust
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
9,691

sidhani kama hii hoja yako ina mashiko sana
 
chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,332
2,000
Prof Assad aligundua shimo la 1.5 trillion mpaka leo hakuna majibu

Mdege zinanunuliwa bila ukaguzi sasa huo ndio nauita upigaji
Mbona mnakuwa na mioyo migumu? PAC walishatoa majibu kuhusu Tril 1.5 bungeni. Ununuzi wa ndege unafanyika wazi kabisa. Au mmekosa hoja kabisa?
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
22,573

Hesabu za ndege zimefichwa Ikulu mkulimaSteyn amelipwa halafu tunaambiwa hajalipwa Magufuli anatufikiria sisi sote ni Wazinza wa kudanganywa hahaha
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
18,471
2,000
Ile hotuba kuhusu hali ya kisiasa na Corona naona imewauma sana, maana watanzania ndani ya nje waliikubali, mataifa yote yaliona kweli huyu ni kiongizi kwenye dira.

Sasa ndiyo hivyo mtaa wa saba wamenuna na wamekuja na yao...kama ni mwizi kwa nini msimkate? mnatuambia sisi ili iweje wakati Police wenu, DIPIPI wenu, mnashindwa nini?
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
22,573
2,000
Unafanya mambo kwa hisia tu.
Corona pia ni hujuma za mabeberu nafurahi kwa sababu hamjavaa barakoa ila ugonjwa huu upo zingatieni washauri wa wizara ya afya washauri wanasema vaeni barakoa

Haya maneno yote ni kinywa cha mtu mmoja magufuli na nimuongo sana
 
chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,332
2,000
Corona pia ni hujuma za mabeberu nafurahi kwa sababu hamjavaa barakoa ila ugonjwa huu upo zingatieni washauri wa wizara ya afya washauri wanasema vaeni barakoa

Haya maneno yote ni kinywa cha mtu mmoja magufuli na nimuongo sana
Mnapindua maneno. Hajasema hivyo. Ametoa tahadhali juu ya vifaa vinavyotolewa kama msaada kuwa navyo makini.
 
Top Bottom