singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Kuwa mpinzani ni Shiiiida kabisa kila kitu unapinga na kukosoa, hawa watu walituambia tatizo mfumo wa utendaji serikalini, leo Rais anafumua huo mfumo wanapinga, ooh wanaonewa, wanaonewa nini wakati miezi 3 iliyopiga ulikuwa unalalamika juu ya hao hao unaowatetea leo?
Naunga na wana kilimnajaro kuwa Mbowe naye ni jipu anahitaji kutumbuliwa