Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,893
- 31,101
Waku nimepigiwa simu na mdau wa karibu Mheshimiwa Mbowe na Ndesamburo wameingia Arusha kuweka sawa hali ya mambo baada Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha kuwaambia Lema amewekwa sawa na Mzee wa Monduli.
Tuombe Mungu wawe wamehi kwani historia iko wazi Lema si mpiganaji wa kutumainiwa.Zipo tetesi Lema ameshavuta mshiko wa haja anajaribu kutengeneza mazingira mazuri asistukiwe amefanya biashara.Watu ni wengi sana eneo la halmashauri wameapa ikiwa Lema atauza jimbo roho yake itakuwa mali yao.
CCM wilaya ya Arusha wameshaandaa maandamano kusheherekea ushindi wa Dr Batilda Buriani mbunge wa kununua.
Habari ndiyo hiyo.