Elections 2010 Mbowe Ndesamburo waingia Arusha

Status
Not open for further replies.

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,799
30,724
Waku nimepigiwa simu na mdau wa karibu Mheshimiwa Mbowe na Ndesamburo wameingia Arusha kuweka sawa hali ya mambo baada Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha kuwaambia Lema amewekwa sawa na Mzee wa Monduli.

Tuombe Mungu wawe wamehi kwani historia iko wazi Lema si mpiganaji wa kutumainiwa.Zipo tetesi Lema ameshavuta mshiko wa haja anajaribu kutengeneza mazingira mazuri asistukiwe amefanya biashara.Watu ni wengi sana eneo la halmashauri wameapa ikiwa Lema atauza jimbo roho yake itakuwa mali yao.

CCM wilaya ya Arusha wameshaandaa maandamano kusheherekea ushindi wa Dr Batilda Buriani mbunge wa kununua.

Habari ndiyo hiyo.
 
Oyaa ndugu kwa nini unapenda controvesy kuhusu hiki kiti cha ubunge Arusha as if ni lazima mambo yaende kwa matakwa yako. Don't u c unachoandika kama si kweli kinaweza kuleta madhara makubwa sana!!!!!!!!!!!
 
Duh!!!jamani wenzenu presha inapanda, presha inashuka!!

I hope wapiganaji Ndesamburo na Mbowe watafanya mambo!!!
 
Kuna watu wanaendekeza hela jamani yaani watu wanakuamini alafu unawatosaaaaaaaaaaa.
Laaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa iyp Lema tena ya kujitakia
 
nani kasema Lema ameuza kiti kwa CCM? hamuwajui waarusha nyie, huo moto hautazimika! and that Lowassa guy labda aendelee kuishi humohumo kwenye hiyo ofisi. akitoka wanae!
 
Lema deserve death sentence ya mikono ya wananchi na si kwa njia ya sheria, i could advise wananchi wote wa Arusha waungane, na kuhakikisha hatoloki incase nachosikia hapa kama ni kweli.... Hawezi kuichezea jamii na mageuzi. Hakika kama ningekuwa Arusha personaly leo either ningekufa, kuumizwa vibaya sana na vyombo vya dola au kuwa kilema wa maisha. Haikubariki, haiingii akilini, haiwezekani.
 
Ikiwa hali ndo hiyo, bado tuna safari ndefu kuelekea mabadilikoa ya kweli.
 
Nimegundua tunaongopeana humu, we are not consistent, mara unasoma hili, baadaye linabadilika
 
nani kasema Lema ameuza kiti kwa CCM? hamuwajui waarusha nyie, huo moto hautazimika! and that Lowassa guy labda aendelee kuishi humohumo kwenye hiyo ofisi. akitoka wanae!

Heshima kwako Bigirita,

Mkuu wangu jeshi la polisi limejiaanda kudhibiti wafuasi wa CHADEMA gari la kumwaga maji ya kuwasha liko eneo la tukio,L/cruiser za polisi zipo za kutosha,polisi wamekodi L/Cruiser tano Bushbback safaris kwaajili ya kuwalinda wanachama wa CCM wanaojianda kushaherekea ushindi wa Mama.
 
Hali ni mbaya mnaona hela ya ufisadi inavyofanya mambo yake hapo? Duh hii tz hapana" Mkono wa MUNGU uingilie kati na kufanya mambo ya kaki.
Amen
 
Huyu nduio anatuanda; i cant believe what you say. Palipo upinzani CCM huwa wagumu kuachia, lakini lazima waachie hata kama vifaru vitakuwepo
 
Lema deserve death sentence ya mikono ya wananchi na si kwa njia ya sheria, i could advise wananchi wote wa Arusha waungane, na kuhakikisha hatoloki incase nachosikia hapa kama ni kweli.... Hawezi kuichezea jamii na mageuzi. Hakika kama ningekuwa Arusha personaly leo either ningekufa, kuumizwa vibaya sana na vyombo vya dola au kuwa kilema wa maisha. Haikubariki, haiingii akilini, haiwezekani.

Kwa hiyo hikindicho Ndicho Ngngo anachokihubiri au?
 
Tetesi ni kuwa wanarudia kuhesabu kura
Naona apo ndo wizi utatokea
 
Wakuu nimepata taarifa kunako chumba cha kutangaza matokeo Dr Batilda Buriani ameshinda ubunge wa Arusha mjini.Lema kama kawaida yake amefanya aliyofanya mwaka 2005 ???????????.
 
liwalo na liwe.
Kama ni vita sisi hatutakuwa wa kwanza.
Pia kama kufa ndio kikomo cha binadamu.
na kama ni haki lazima ipatikane
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom