Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Mwenyekiti wa muda wote wa CDM ndugu Mbowe anapaswa aelewe Nana Akufo Addo baada ya kuapa atakuwa Raisi na si kiongozi wa upinzani.Ataungana na Museveni,Magufuli,Kenyatta na wengine wengi katika masuala ya uongozi wa Taifa na vyama tu.
Mtu pekee ambaye Mbowe na CDM wanatakiwa kuungana naye katika siasa na za upinzani ni Raisi mstaafu John Mahama.Jinsi ulivyoondoka Dar kuna propaganda zimeenea eti huenda ukapewa uwaziri na Nana,jitahidi kuwapa ukweli la sivyo yatajirudia ya ICC,ICJ nk.
Huyo Mahama kabla ya kuwa raisi naye alikuwa mpinzani hivyo jitahidi kubalance mambo ili kesho usijute kwani huenda Mahama ndiye akawa mwenyekiti wa OMO. Pia waeleze ukweli wafuasi wako uliowapa matumaini hewa kuwa kiprotokali hauna nafasi yoyote umeenda tu kushuhudia hata hadhi ya balozi hauna,tuelezane tu ukweli.
Mwisho ni kwa wafuasi wa chadema lazima mtambue ya kuwa kushinda kwa Nana hakuna chochote mnachopata au kukosa bora mjielekeze Tanzania ili kupata ufanisi zaidi.Nana na chama chake wameshinda kwa hoja na si kwa uongo,uzushi,unabii,ramli na kama hayo.
Tufanye kazi.