mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,049
- 4,904
- Thread starter
- #21
Kenge familia yenu!Tulieni dawa iwaingie kenge nyinyi ,kwa Sabaya mlishangilia sana.
Malipo ni hapa hapa duniani.
Huyo jangili, jambazi sabaya ambaye hata CCTV camera zilimnasa kwenye 18 akifanya matukio ya kiahalifu utalinganisha na ushahidi wa kubumba uliotungwa kudhoofu familia za makomandoo na Mbowe!!
Onesha udhuhirisho wa kiteknolojia Kama vile CCTV video record au hata mawasiliano ya simu yalivyodhihirisha mipango ya hawa jamaa walikua wakijadili mambo ya kigaidi!!
Kwa nn mkwepe CCTV record, na phone calling records badala yake mnaleta record ya muamala wa laki 6 eti ndiyo kiasi cha fedha kilichopangwa kufanyia ugaidi!!