MACHONDELA
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 937
- 1,566
Broo usileweshwe na mambo ya kidunia!Lissu ni mpango wa Mbowe, ndio maana dereva wake alikimbia mzee.
Broo usileweshwe na mambo ya kidunia!Lissu ni mpango wa Mbowe, ndio maana dereva wake alikimbia mzee.
Mbowe sio TZ ndugu,hata zamani tuliaminishwa kwamba bila Nyerere nchi itayumba,Ila mpaka saivi mambo Yao Sawa, watzania wapo wengi Sana,nawatafanya/watadai Katiba Yao bila Mbowe na itapatikana,tusikae kuabudu mtu mmoja kama vile hatuna akiliCCM wanafikiri kumfuanga Mbowe kifungo kirefu ndiyo watapumua Suala la katiba mpya...wanafikiri wataitawala nchi hii milele...maweee!!
Unapoambiwa una kesi ya kujibu lesi ambayo haipo basi fahamu kwamba washapanga hadi hukumu itakavyokuwa.
Ndicho wanachokitaka ccm kwako ujue kusoma na kuandika tu. Alafu kila wakikuambia ukubali. Kwa Lisu ata wakisema babaako ndiyo aliyempiga risasi utakubaliLissu ni mpango wa Mbowe, ndio maana dereva wake alikimbia mzee.
UmbwaTarehe 4.3.2022 Mbowe na wenzake wataanza kupanda kizimbani kujitetea wakiongozwa na mawakili wao; kisha upande wa mashtaka utapata fursa ya kuwadodosa ( cross examination).
Matumaini yangu ni kuwa wale jamaa wa live update watakuwepo pia na sisi hasa mimi nitatuta vyanzo vingine kuumbua ujamja wao wa kuongeza chumvi zao.
Wenzako wanahaha kutafuta mwanya wa kufuta we unawaza ujinga.Tarehe 4.3.2022 Mbowe na wenzake wataanza kupanda kizimbani kujitetea wakiongozwa na mawakili wao; kisha upande wa mashtaka utapata fursa ya kuwadodosa ( cross examination).
Matumaini yangu ni kuwa wale jamaa wa live update watakuwepo pia na sisi hasa mimi nitatuta vyanzo vingine kuumbua ujamja wao wa kuongeza chumvi zao.
Kazi nzuriTarehe 4.3.2022 Mbowe na wenzake wataanza kupanda kizimbani kujitetea wakiongozwa na mawakili wao; kisha upande wa mashtaka utapata fursa ya kuwadodosa ( cross examination).
Matumaini yangu ni kuwa wale jamaa wa live update watakuwepo pia na sisi hasa mimi nitatuta vyanzo vingine kuumbua ujamja wao wa kuongeza chumvi zao.
Ugaidi ni kumbambikia mtu kesi ya ugaidi. Kukosa akili kunawasababisha wafuasi wa watawala kuonekana zeros. Ujinga mtupuTarehe 4.3.2022 Mbowe na wenzake wataanza kupanda kizimbani kujitetea wakiongozwa na mawakili wao; kisha upande wa mashtaka utapata fursa ya kuwadodosa ( cross examination).
Matumaini yangu ni kuwa wale jamaa wa live update watakuwepo pia na sisi hasa mimi nitatuta vyanzo vingine kuumbua ujamja wao wa kuongeza chumvi zao.
erer3erer333333e33eeKwahiyo wewe ndiye mtabiri au wawakilishi wa hao watesi wa mh Mbowe?
Stupiderer3erer333333e33ee
Tuliikosa hii fursa.Tarehe 4.3.2022 Mbowe na wenzake wataanza kupanda kizimbani kujitetea wakiongozwa na mawakili wao; kisha upande wa mashtaka utapata fursa ya kuwadodosa ( cross examination).
Matumaini yangu ni kuwa wale jamaa wa live update watakuwepo pia na sisi hasa mimi nitatuta vyanzo vingine kuumbua ujamja wao wa kuongeza chumvi zao.
Kabisa mkuuUlimjibu vizuri sana huyu ndugu CARDLESS