Mbowe na tafakuri zake...

lUYUNGU

hIVI KWELI UNAWEZA kufanya MASTERS bila ya kuwa na First degree?

tena MASTERS IN BUSINESS ADMINISTRATION?
 
DrWHO,
Kuna ndugu yangu mmoja alikuja kusomea MBA as a program lakini alikuwa hana digrii ya kwanza. Nasikia hata Mwalimu Nyerere alisomea Masters yake kabla ya kuwa na gidrii ya kwanza. Kwa hiyo, ndiyo, inawezekana
 
Sikuwa najua kwamba you can do a Masters degree (MBA) before an undergraduate degree (or even cheti cha form six!). And I didn't know that you can actually graduate the same day for both graduate and undergraduate degrees! Kumbe inawezekana!

By the way, I appreciate majibu ya Mwanasiasa na JJ lakini I thought maswali yaliulizwa kwa Bwana Mbowe kama mwanachama mwenzetu wa JF. Unless, Mwanasiasa na JJ waseme wanajibu kwa niaba ya Bwana Mbowe, the record will never be straightened-up unless aje Bwana Mbowe mwenyewe.

Yes, indeed it is very possible and always has been. Duniani kote qualifications za kusoma MBA ni tofauti kabisa na programme zingine. Whilst many masters programmes will take account of bachelors degree as one of the important admission criteria, in many universities, criteria for admission for an MBA degree go beyond academic qualifications. Many universities also condiser one's accumulated experience in business udertaking as an important criterion to study MBA. There are also pre-admission tests that can qualify one's admission into an MBA programme in regardless of his/her previous academic standing. Many MBA programmes are also tailor made, which is why there are several types of MBAs and several modes of offerings including executive, evening, residential, just to mention a few.

Vilevile, inabidi tuelewe kuwa mifumo ya elimu ina tofauti sana duniani. Leo US, kwa mfano, ukiwa bachelors degree unaweza ukaenda moja kwa moja kusoma PhD bila kulazimika kusoma maters degree kitu ambacho hakiwezekani kwa TZ kwa mfano. Ila ukiwa umefunikwa na mfumo wa elimu wa TZ na hasa wa UDSM ni vigumu kuelewa haya majambo, inabidi kwanza utoke kwenye box!

Japokuwa inawezekana, mimi binafsi sikusem ata graduate at the same time, mimi nilisema around the same time. Huge difference!

Kuhusu Mbowe kujibu mwenyewe.Kwanza, lazima tukubali kwamba hiyo ni hiari yake kama ilivyo kwa mwana Jambo Forum mwingine yeyote. Kila mtu huingia hapa kwa wakati wake na kutokomea kwa wakati wake. Nafikiri hata wewe bwana Mgongo ulipotea kabisa hadi hii mada ya Mbowe ilipotajwa tena, ila hakuna wa kukuhukumu kwa hilo. Pili, Mbowe ni kiongozi kama kiongozi mwingine. Sisi kama wafuasi wake tuna haki na tunawajibika kumtetea na kumsemea pale inapobidi kama ambavyo Kulikoni amesimama kidete kumtetea na kumsemea Kikwete na CCM. So, issue ya kuweka records straight haipo maana mambo mengi yanayojadiliwa hapa ni maoni badala ya facts!

Hakuna wa kutufunga mdomo wala vidole katika hili. Wanajambo forum wana haki ya kuhoji kwa yale tuyaandikayo nasi tunawajibika kuyajibu. Ila tuna haki pia ya kutokusema chochote kwa mambo ambayo hatuyawezi kuyasemea ama kwa kuwa hatuyawezi au hatuoni kama ni sawa kuyasema. Freedom of expression.
 
kweli watanzani tunapaswa kubadika kisiasa tuachene na sere potofu kila uchaguzi unapofika watu walewale na badotuawachagua huku ukichukulia ahadi zao ni nyingi sana hazijatekelezwa.
kwa mtu kama Freeman Mbowe mi namkubali sana ijapokuwa mi sio mwana Chadema. Tujenge Tanzania iliyotukuka
 
Mwanasiasa - nimelikubali somo lako la MBA. Kama ulivyosema tumegubikwa na mfumo wa elimu duni ya UDSM. Ila kwa uelewa wangu, admission ya moja kwa moja kutoka undergraduate to PhD ni kwa ajili ya ku-firm up commitment ya mwanafunzi to eventually do a PhD research, and it is usually administrative kwani there is no way of avoiding taking Masters degree coursework ambayo mara nyingi ni applicable towards readying oneself to do PhD research and write a dissertation. Nimesoma Mlimani yetu uliyoiponda lakini kwa hili huwezi kunipiga bao.

Sasa, it may true kabisa kwamba unaweza kufanya Masters degree kabla ya Bachelors degree, given your qualifications and the type of MBA. For me, for that to be the case, you either have to be so good as an entrepreneur or executive or that MBA has to be so lousy that they don't care what you are made of kichwani or what you are going to do with their degree. I reckon Wits is a decent University and that Mbowe saw it fit to do a Masters degree first and Bachelors later - and graduate during the same week (what the heck is "arond the same time"?).

Kwanza sijui ni kwanini Mbowe kaingia mitini, baada ya kusema atakuwa anachangia once in a while.

Maswali kwa Bwana Mbowe yako mengi, lakini kama wanaojibu ni kina Mwanasiasa, wakati Mbowe ni mwenyewe ni mwanachama wa JF, it is really useless to pose them. Why did he register then? To have people answer things for him? Sasa sifa tulizompa za ushujaa wa kujiunga na JF ni matapishi ambayo inabidi tuyameze?
 
Utameza mwenyewe ambaye una shida na sana shule ya Mbowe ambayo iko wazi lakini wako mawaziri na wabunge kibao ambao hata shule ya kuunga hawana ila wame foji tu vyeti na nbado huwezi kuwauliza unakomaa na Mbowe . Pole bwana mdogo
 
Utameza mwenyewe ambaye una shida na sana shule ya Mbowe ambayo iko wazi lakini wako mawaziri na wabunge kibao ambao hata shule ya kuunga hawana ila wame foji tu vyeti na nbado huwezi kuwauliza unakomaa na Mbowe . Pole bwana mdogo

Huu ndio upuuzi ambao wapinzani inabidi tuachane nao. Mtu akibanwa kuhusu a confusion kwenye sequencing ya madarasa yake pamoja na credibility ya elimu yake, the excuse ni kwamba mbona kuna mawaziri kibao nao wako hivyo. When are we going to stand on our own and defend our record bila ku-externalise weaknesses na kusema fulani mbona naye mchovu halaaniwi? You want to discuss about Nchimbi's education? Open (yet again) another thread. This is about Mbowe. Usituchefue na distractions.
 
Naam,
1. Kwa namna hii thread ilivyokwenda, wanabodi wanaweza kunielewa kwa nini kila mara huwa nnasema kuwa .. among the Chademas I know so far, Mwanasiasa is their presidential material. Mmeshuhudia alivyo tofauti na wengine katika kujenga na kukabili hoja kwa hoja. Keep it up Mwanasiasa. I hope they realise this and give you usukani. Amen.

Hata hivyo kuna matatizo katika majibu ya Mwanasiasa. Ntaeleza na kuhoji baadae nikiwa na muda kuja kuchangamsha zaidi mjadala.

2. Mnyika badala ya kumjibu DrWHO aliyeanzisha thread, yeye ameamua kukwepa maswali na kujibu vitu vingine tofauti kabisa akielekeza mashambulizi kwa Kulikoni, maana DrWHO hajasema degree tatu wala hajasema miezi 18. So hujajibu hata swali moja, kazungusha zungusha tu.

Yes, Kulikoni alisema degree tatu na kwa miezi 18, na kishakufafanulia kuwa huo ulikuwa ni mtego kwako na uliungia vizuri tu [Ref: http://www.jamboforums.com/showpost.php?p=25932&postcount=105]. Mtego ulikuwa kudhihirisha kwamba unakuwa choosy katika kujibu, kuna vitu unakuwa very fast kulogin na kujibu, lakini suala la ufamilia ndani ya Chadema inakaribia mwezi wa nne sasa unalipiga tarehe (ahadi zilianza tangu Novemba mwaka jana), leaving the forum wondering kuna ugumu kujibu hilo. Hata kama linahitaji vikao, miezi minne basi?!. Tunasubiri ahadi ya safari hii ya 'within this week'.

Kuendelea kwako kurudia point hii hii kuwa eti Kulikoni kadhamiria kupotosha ni tantamount to character assasination against him too. Kama lengo lilikuwa ni kudanganya, halafu mimi huyo huyo ndio nilete link ya kudhihirisha uongo wangu?! C'Mon. Mara zote nnapomiss facts kwa bahati mbaya, kisha nikagundua kukosea au nikapewa facts tofauti na nikaridhika nazo, huwa nakubali mara moja. I did not wait for you to bring references za hansards alizozungumza Mbowe, nlienda mwenyewe kucheki na kuadmit nilimiss the fact that jamaa alikuwa waziri kivuli wa fedha. Kwa hiyo nampa benefit of doubt kuwa labda, penginepo, huenda ikawa .. kutouliza kwake maswali ni kwa sababu ameyajumuisha aliyotaka kuyasema/kuyauliza into speech yake ya kuchangia wizara husika.. hata kama spichi hiyo si yake peke yake ni.. msimamo wa upinzani kwa ujumla.
 
Mzee MKJJ
Ili kuokoa muda na hii mada iwe ya maana naomba kama uafanyavyo kwa wengine wakituhumiwa . Hapa Mboe anatuhumiwa kuanzia ukabila , hadi Elimu na Siasa . Je unaweza kumpata ndugu huyu Mbowe ili aseme nawe tusikie aliyo nayo juu ya maswali ya wananchi ?
 
Kumradhi watanzania,

Nimelazimika ku-edit posts zenu KARIBIA ZOTE ili kuweza kuendelea na topic kwa kadiri ninavyodhani itapendeza kuendelea kuongeleka. Aidha nadhani tuendelee kujibu HOJA kwa HOJA ili iwe rahisi kupata contents. Inakuwa kazi ngumu ku-edit lugha kalikali jama!

Inshallah, tutafika! Mjadala mwema
inviceble=moderetor​
unatukera sana moderetor sehemu ulizo edit weka............au peeb usituondolee kabisa ili mtu afikiri mwenye ilikuwa imeandikwa nini unanikera sana kama vile sisi tunacho andika hatukijui tafazali fuata huo mfano hapo juu wa deshideshi...................tunajua kuna kitu umekata hapo au weka beep

unatukera sana
 
Rais wa Jamuhuri ya Tanazania alichukuwa muda wake na kumpongeza ailiyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chadema kwa ujasiri na ushujaa na nguvu ailitumia wakati wa kampeni kuweza kufanya mikutano kumi kwa siku wakati JK alifanya mikutano 2-3 kwa siku.

Freemna Mbowe aliwezakufanya mkutano hiyo ambayo muheshimiwa Rais aalisema ilikuwa kazi ngumu sana na aliwezaje kumaliza kampeni kwa speed hiyo hiyo bila kuanguka,

JK alimpongeza na kumpa pole kwa kazi ngumu, sisi humu tuma lumbana tu na kashifa wakati mkuu wa nchi anakubali mchango wa wapinzani,

Swali hapa siyo kumjadili mtu binafsi hapa akuna balance kati ya mtu na chama , hii forum mumeigeuza kijiwe cha udaku akuna ISSUE YA MAANA HAPA.
maneno maneno tu ili muonekane wazuri upande mmoja,

ebu leteni issue za kumkomboa mtanzania kwenye umasikini, leteni issue za kibiashara nyiye mnalumbana humu wakati wageni wameizunguka nchi yenu nyiye bila kujua sasa hivi watanzania wame wekwe kati ni kushambulitu imebakia,

acheni siasa fanyani kazi kila siku ni majina ya watu yamewakaa kichwani, nyiye wote akuna anaye weza kufikia nafasi aliyo nayo Mbowe.
atakama asipokuwa Rais,

hoja ya kweli tujikombowe
 
Ukweli ni kwamba watu wafanye kazi wajadili mambo ya maana siasa ndiyo imewaingiza wengi kwenye shimo na janga la umasikini kwa sababu wanaamini wanacho ubiriwa kumbe ni uongo, wachache wana faidika sasa kama huu wimbo umewaingia basi ''we are done''

wengi humu ni watu wakuongea mambo ya watu kujitafutia umaarufu ambao uwezi kujitokeza sasa kwanini tusijadili biashara,kilimo,afya na elimu,na vitu vingine vya kimaendeleo tukiwa na matumaini iko siku tuta kutana .

hapa JF tutakuta kuzimu na kuulizana wewe ndiye Mzee ES, wewe ndiyo Babu Hasara, sijui kuliko, majina ya mashetani, kwa sababu akuna siku tutakutana tukaongea, haya tuliyo kuwa tuna yajadili.

jamani watanzania Viongozi wenu wana wapenda sana sasa waonyesheni ni nini mnacho kijua basi msaidiwe kima wazo ili muweze kulijenga taifa lenu,

hii hapa kuonyeshana kwamba mimi ni mzee wa kukata issue sijui itawapeleka wapi, unatafuta jina ambalo uwezi kumuambia mtu, kuwa sababu umeshaaribu sana na kuvuruga sana huko uliko toka .

kuna topic imeanzishwa kuhusu watu wanakuongea mambo ya maendeleo au ianzishwe forum nyingine siyo ya siasa iwekwa ajili ya vitu vya maendeleo. kama NETWORK YA WATANZANIA kama MY SPACE.COM watanzania watangaze biashara,mashule,miradi mbalimbali ya kutafuta wawekezaji, kazi zao na mengine mengi watu watajitabulisha kwa utambulisho wao ili watu kuweza kusaidiana na kujuana.

nyiye mnaazisha vitu vya udaku tu kila kukicha moderetor ukitoa hii post itakula kwako,

pia nyiye mnao endesha hii FORUM siyo watu wazuri hii forum sizani kama inamasaidia mtanazaia kama mfanyabiashara, mkulima, mwanafunzi na raia wakawaida asiye jua siasa na siasa inayo andikwa humu ni ya wivu na upendeleo na ni siasa ya upande mmoja

basi tufunguliwe forum yetu ambayo itakuwa TANZANIA DEVOLOPMENT FORUM ili ata wakulima na wafanya biashara waje humu na kazi zao

hii kwa mmiliki wa hii FORUM na mamoderetor wako tumieni akili kama hamuwezi kuanzanisha kitu ambacho kina weza kuwakutanisha watanzania fungeni hii FORUM ni ya udaku, au muanzaishe nyingine hii ibakie kama kijiwe cha siasa na hiyo nyingine watu watafutane kimaendeleo.

nimechoka na siasa za upande mmoja
 
Kwa kweli mambo yanashangaza sana humu.Mtu anauliza maswali ya Mbowe, akipewa majibu anasema alitaka Mbowe ndo ajibu.
Mwanasiasa umetumia uhuru wako kujibu lakini ni vizuri ukaelewa nia ya watu wanaouliza hayo maswali ni nini?Nadahani Mwanakijiji ameeleza vizuri.Kwa upande wangu naona kadri muda unavyokwenda ndo forum inazidi kwenda mrama.na hii inafanikiwa kwa kuwa kumekuwa na kuulizana issue zisizo na maana ili kudeviate effort kutoka kwenye issue za maana.
 
Hivi kweli Mbowe akiwajibu maswali yote mtaridhika? Nataka nitoe ofa hapa... wenye maswali yanayomhusu Mbowe nitumieni PM hadi kesho (j'tano jioni) na upande mwingine Bw. Mbowe naomba uwe tayari kuyajibu maswali hayo once and for all.. at the same time tunatumaini viongozi wengine ambao wasifu wao una mashaka watakuwa tayari kuzungumza nami pia....
 
Mzee MKJJ
Nakushukuru sana kwa uamuzi wako wa kulonga na Bwana Mbowe . Mimi nataka kujua ama kusikia anasema nini . Kwa kweli watu walete maswali kwako ili tuone Mbowe anasemaje?
 
Back
Top Bottom