TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,765
- 4,033
tunahitaji pia majina wa hicho chama kilicho outsource viongozi kutoka somalia
teh teh teh,mambo ya kinana,tusubiri wenye chama chao(magamba) watajibu swali hili!
tunahitaji pia majina wa hicho chama kilicho outsource viongozi kutoka somalia
Mkuu chama,
Kuna uzi upo humu unauliza Chadema ni taasisi au Dr Slaa ndio taasisi, niwajibu kuwa Chadema ni taasisi nikawauliza kwa nini michango ya M4C yote inakusanywa na Lema na Mbowe. Jamaa badala ya kujibu wakaanza kunishambulia.
Ni kuwatetea wapiga kura wao na kutetea sera za chama pale inapohitajika kufanya hivyo!Kwani kazi ya wabunge bungeni ni kutetea Chama?
kazi ya molemo ni kutibua tibua yaani yeye hanaga hoja hata siku moja...ataishia kulialia tu kwamba mnamsema mbowe na dr.slaa
molemo uwezo wake wa kuchambua hoja na kuzijibu accordingly ni nusu kaputi.
Mwenye tatizo si Dr.Slaa, ni watanzania wote! Ujinga tu ndio unaokufanya ujione uko salama ndani ya CCM inayokutumia kama toilet paper na baadae ikutupe. Wewe ni ccm zaidi ya Lowasa na Sumaye? Ona leo jinsi wanazodolewa pamoja na kushika madaraka ya juu! Kama Sumaye na Lowasa ambao wamekitumikia chama kwa level ya juu kabisa hawana chao ndani ya ccm , je wewe? CCM ni tatiyo kwa kila mtanzania mwenye akili kidogo tu! Ukiona bado huoni tatizo ndani ya ccm, wakati hata mwenyekiti wao AMEKIRI MARA NYINGI kwamba kuna matatizo then wahi muhimbili wakacheki medula of oblongata kama iko sawasawa. Slaa haangaikii shida zake tu , ni pamoja na zako mkuu, JARIBU KUJITAMBUA; USIWE MTUMWA WA MAWAZO!Mbowe kasusiwa chama????
Yawezekana ndio sababu ya mbowe kuanza kumuta sumaye aje amsaidie???
Duuuh mbowe naye kwa hasira ameamua kupeleka nguvu zake kwa kikwete yaani amenyoosha mikono juu na kusema kikwete wewe ndiye rais pekee niliyekuona tangu nianze siasa.
Dr.slaa yeye kazi yake ni kutoa matamko tu siku hizi tena akiwa amejifungia ofisini
dr.slaa yeye amevunjika moyo jabisa baada ya kubamizwa kwenye chaguzi za kata alipoambulia patupu kata zote alizopewa atembelee na kufanya mikutano
Mkuu chama,
Kuna uzi upo humu unauliza Chadema ni taasisi au Dr Slaa ndio taasisi, nikawajibu kuwa Chadema ni taasisi ya watu fulani, nikawauliza kwa nini michango ya M4C yote inakusanywa na Lema na Mbowe. Jamaa badala ya kujibu wakaanza kunishambulia.
Ni kweli limekamatiwa china na container za pembe. Naona mmeajiri wasomali vipi 2015 mtasimamisha msomali kwenye urais?Precise pangolin
ahhaa haha kuna yule mbunge gari zikumuona zinakimbia yupo wapi sijamsikia wiki hii; na lile jangili la wake za watu lipo wapi mkuu?
Chama
Gongo la mboto DSM
Kweli hata ujinga nao una washabiki wake vile vile. chama na Ritz mnapaswa kufahamu kuwa unafiki ni mzigo wa mwenyenao. Leo hii mnasema CDM ni Dr Slaa, Lema na Mbowe, lkn ni watu nyinyi nyinyi mnaoanzishaga chokochoo za kijinga kuwa bila Zitto Kabwe CDM isingekuwa ilipo.
Mnadhani CDM ni CCM eeh! Lema na Mbowe ndio wanakusanya michango ni swali la kipuuzi, tena sana. Ulitaka akusanye nani? Fedha ndogo ndogo ndio zinawafanya muuane huko CCM lkn hayo hamyaoni, mnarukia ambapo hamna shida na kuhoji. Hebu ngoja nikukumbushe jinsi mlivyo na tabia mbovu kwenye hela na chakula cha halaiki
View attachment 71783View attachment 71784
View attachment 71786
Mkuu siasa umezifanya kama ushabiki wa Simba na Yanga!Lema na Mbowe wanajigawaje nchi nzima kukusanya hiyo michango?kwa ni CCM mnawachukia sana wachaga,nini siri ya hili?na kwa nini CCM damu damu na watu wa pwani?chama chenu kinaharufu ya ubaguzi wa chini chini?
Na ni kwa nini hivi?
Ally Hassan Mwinyi-Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Benjamini Mkapa-Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Jakaya Mrisho Kikwete -Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Benard Membe pia mnataka awe rais atakayekuwa anatoka pwani ya bahari ya hindi
Mkuu hamuwezi kuendelea kutufanya wajinga sisi tunajua hila zenu zote na safari hii tutapambana na ninyi mbaka kieleweke!!!
Ni kweli limekamatiwa china na container za pembe. Naona mmeajiri wasomali vipi 2015 mtasimamisha msomali kwenye urais?
Mkuu siasa umezifanya kama ushabiki wa Simba na Yanga!Lema na Mbowe wanajigawaje nchi nzima kukusanya hiyo michango?kwa ni CCM mnawachukia sana wachaga,nini siri ya hili?na kwa nini CCM damu damu na watu wa pwani?chama chenu kinaharufu ya ubaguzi wa chini chini?
Na ni kwa nini hivi?
Ally Hassan Mwinyi-Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Benjamini Mkapa-Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Jakaya Mrisho Kikwete -Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Benard Membe pia mnataka awe rais atakayekuwa anatoka pwani ya bahari ya hindi
Mkuu hamuwezi kuendelea kutufanya wajinga sisi tunajua hila zenu zote na safari hii tutapambana na ninyi mbaka kieleweke!!!
kuna haramia moja lipo Huku kigamboni linachangia sana ccm naona lazima lipate uongoziAkiwa na sifa za kichama na wajumbe wakimpitisha tunamsimamisha; CCM hatutumii dhana ya ukabila kwenye chaguzi zetu tunaangalia uwezo wa mtu; vipi na nyie watani tunasimamisha wa wapi Rombo au Machame?
Chama
Gongo la mboto DSM
bob Makani alikuwa anatokea kaskaziniUmemsahau Mwl. Nyerere naye anatoka pwani ya bahari ya hindi- kwa Mussa Hassan aka Msasani!
Chama
Gongo la mboto DSM