Ndan ya ccm vimejaa vi-itahwa vingiiiiiiiiii, na ndo vilivokalia ustawi wa TZ,wewe ni mpumbavu..nadhani pia wewe ni CCM B..nahisi pia huna ufahamu wa kutosha na siasa za leo,..nafikiri pia hauelewi misingi ya maendeleo,nakushauri ukamsome Carl Marx,Lenin,Pr.Shivji na J.K Nyerere juu ya mitizamo ya maendeleo
usihishi kwa illusions..watanzania tupende kusoma tusije kuhaibika..hauna tofauti na Kikwete asiyejua ni nini kinapelekea taifa hili mbali ya kuwa na utajiri mwingi bado ni maskini
raisi wako miaka 50 sasa ya uhuru bado anadai "ukoloni ndo kii cha umasiki Tanzania"...mbona Rwanda wametoka vitani juzi tu hawashikiki,kwa nini hela ya Kenya inapanda thamani ya Tanzania inazidi kushuka?ama Kenya haikuwahi kutawaliwa..?ama tuseme kenya iliitawala Tanzania?..si nakuuliza?