Mbowe, na sisi pia tumekuchoka pumzika acha udikteta ndani ya chama

Hakuna cha kuivusha cdm, siungi mkono kiongozi yoyote anayeutaka uenyekita wa cdm aliyetokea ccm, kama Cecil Mwambe au Sumaye, ila kuna watu madhubuti kama John Heche nk. ambao ucdm wao hatuna shaka nao.
Hata akina muzee mudee tuliwaa mini achilia akina waitara,mkumbo
 
Sawa ila hapa si tunajadiliana kwa hoja hivyo wewe haujashawishika na hizo walizozitoa watu kwenye suala la Mbowe kuendelea kushikilia hiyo nafasi?

Narudia tena, kiongozi hata awe mzuri vipi, kwangu miaka kumi ni mwisho. Na hata uzoefu unaonyesha kiongozi yoyote anayekaa madarakani kwa zaidi ya miaka kumi ubora wake hupungua, na kuanza kutawala kwa mizengwe, na hata mazuri yake kuharibika. Mfano huo ni kama wafuatao chini
  1. Nyerere
  2. Moi
  3. Fidel Castro
  4. Muamar Gaddaf
  5. Husni Mubarack
  6. Elbashir
  7. Mugabe
Hiyo ni mifano ya dhahiri. Hao hapo juu fananisha na Mandela aliyetawala chini ya miaka 10. Huyu alimaliza na ubora wake. Anachokifanya Mbowe cha kuendelea kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 ni kuharibu mazuri yake ya awali, na kosa lake la kwanza la dhahiri ni pale alipompokea Lowassa, na kumpa nafasi kubwa kabisa bila kujiridhisha na imani yake kwa chama. Matokeo yake Lowassa akaitumia CDM kutafuta alichotaka, ana alipokikosa akarejea ccm. Kwa kiongozi mkubwa kama Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa kosa lile, ama asingegombea uchaguzi uliopita. Matokeo yake ndio haya anaingia kwenye sakata la kina Mdee kwa mlango wa nyuma kinyume na msimamo wa chama. Haya ni maoni yangu yasiyobadilika bila kujali wengine wanasema nini kuhusu Mbowe. Nitabaki naheshimu mawazo yao, lakini msimamo wangu huu ni dhabiti.
[/QUOTE]
Exactly Japo umeanza matusi Kama vijana ila we ni Mwana chadema ambaye ulikuwa haukubali Uhuni nashangaa umegeuka ghafla kukubali mambo kisa yanafanywa na Upande wako
 
Amesha kuambia anapumzikia kesho kutwa,ili umpandikize Mzee Mdee kuwa m.kiti wa chama chake kwani mmeamua kumbeba Kwa mbeleko la chuma
Unamaanisha chadema ni mbowe peke yake ndio hawezi kuwa pandikizi?
Je, akifa mmeandaa mbadala? Akili za kimsukule hizi
 
Narudia tena, kiongozi hata awe mzuri vipi, kwangu miaka kumi ni mwisho. Na hata uzoefu unaonyesha kiongozi yoyote anayekaa madarakani kwa zaidi ya miaka kumi ubora wake hupungua, na kuanza kutawala kwa mizengwe, na hata mazuri yake kuharibika. Mfano huo ni kama wafuatao chini
  1. Nyerere
  2. Moi
  3. Fidel Castro
  4. Muamar Gaddaf
  5. Husni Mubarack
  6. Elbashir
  7. Mugabe
Hiyo ni mifano ya dhahiri. Hao hapo juu fananisha na Mandela aliyetawala chini ya miaka 10. Huyu alimaliza na ubora wake. Anachokifanya Mbowe cha kuendelea kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 ni kuharibu mazuri yake ya awali, na kosa lake la kwanza la dhahiri ni pale alipompokea Lowassa, na kumpa nafasi kubwa kabisa bila kujiridhisha na imani yake kwa chama. Matokeo yake Lowassa akaitumia CDM kutafuta alichotaka, ana alipokikosa akarejea ccm. Kwa kiongozi mkubwa kama Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa kosa lile, ama asingegombea uchaguzi uliopita. Matokeo yake ndio haya anaingia kwenye sakata la kina Mdee kwa mlango wa nyuma kinyume na msimamo wa chama. Haya ni maoni yangu yasiyobadilika bila kujali wengine wanasema nini kuhusu Mbowe. Nitabaki naheshimu mawazo yao, lakini msimamo wangu huu ni dhabiti.
Exactly Japo umeanza matusi Kama vijana ila we ni Mwana chadema ambaye ulikuwa haukubali Uhuni nashangaa umegeuka ghafla kukubali mambo kisa yanafanywa na Upande wako
[/QUOTE]

Yanayofanywa na upande gani kwa mfano? Ukisema utaondoka jf kisha ukaendelea kubaki kinyume na ahadi yako, utachomekewa disc mbovu tu.
 
Labda kwanza usemage kama kwenye list ya covid19 wee ni covid1,2,3 au🤔
 
CCM hata hawajui wanataka nini, sasa hivi washandandia train la kina Mdee kwamba ubunge uendelee huku mguu mmoja umendania train la Mbowe asiwe mwenyekiti, bichwa lao limo ndani ya behewa la hakuna Katiba mpya...

Nini mnatakitaka nyie watu ?
 
Hapana! Bado Mbowe ni mtu muhimu kwa CHADEMA. Jambo la msingi ni kuangalia maslahi mapana ya CHADEMA siyo kuangalia mambo mepesi kama hayo,bado Mbowe ni mwanasiasa mzuri katika siasa za nchi yetu.
 
Back
Top Bottom