sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,486
Enyi wabunge wa Ukawa, tambueni majimboni kwa Mbowe na Mbatia hakuna matatizo kama majimboni mwenu.
Ni bora kuhama chama kuliko kushindwa kuwawakilisha wananchi wenu kwa kufuata mashinikizo ya hao watu wawili na Ukawa yao.
Majimboni kwao kuna maji, umeme, hospitali kubwa, barabara, n.k huwezi kulinganisha na Singida, Longido, Simanjiro, Monduli, n.k. Jitafakarini upya mnahujumiwa na viongozi wenu.