Mbowe na Mbatia wamewahujumu Wabunge wa Upinzani


sirluta

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Messages
6,127
Likes
1,471
Points
280
sirluta

sirluta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2012
6,127 1,471 280
Enyi wabunge wa Ukawa, tambueni majimboni kwa Mbowe na Mbatia hakuna matatizo kama majimboni mwenu.

Ni bora kuhama chama kuliko kushindwa kuwawakilisha wananchi wenu kwa kufuata mashinikizo ya hao watu wawili na Ukawa yao.

Majimboni kwao kuna maji, umeme, hospitali kubwa, barabara, n.k huwezi kulinganisha na Singida, Longido, Simanjiro, Monduli, n.k. Jitafakarini upya mnahujumiwa na viongozi wenu.
 
chamilo nicolous

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2016
Messages
1,438
Likes
941
Points
280
chamilo nicolous

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2016
1,438 941 280
akili ya kukijua hilo hawana, siku wakiliipata watabadilika
 
Shindu Namwaka

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Messages
4,838
Likes
2,960
Points
280
Shindu Namwaka

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2014
4,838 2,960 280
Enyi wabunge wa Ukawa, tambueni majimboni kwa Mbowe na Mbatia hakuna matatizo kama majimboni mwenu. Ni bora kuhama chama kuliko kushindwa kuwawakilisha wananchi wenu kwa kufuata mashinikizo ya hao watu wawili na Ukawa yao. Majimboni kwao kuna maji, umeme, hospitali kubwa, barabara, n.k huwezi kulinganisha na Singida, Longido, Simanjiro, Monduli, n.k. Jitafakarini upya mnahujumiwa na viongozi wenu.
Hii post lumumba unapata hela sasa hivi tena keshi wala haukopwi.
 
amadeusity

amadeusity

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Messages
561
Likes
287
Points
80
amadeusity

amadeusity

JF-Expert Member
Joined May 30, 2016
561 287 80
Hawa wa ndiyooo kila kukicha majimboni kwao kupo vzuri?
Tafakari kabla hujapost kitu.!
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
65,252
Likes
28,169
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
65,252 28,169 280
Enyi wabunge wa Ukawa, tambueni majimboni kwa Mbowe na Mbatia hakuna matatizo kama majimboni mwenu. Ni bora kuhama chama kuliko kushindwa kuwawakilisha wananchi wenu kwa kufuata mashinikizo ya hao watu wawili na Ukawa yao. Majimboni kwao kuna maji, umeme, hospitali kubwa, barabara, n.k huwezi kulinganisha na Singida, Longido, Simanjiro, Monduli, n.k. Jitafakarini upya mnahujumiwa na viongozi wenu.
Huo ndio upeo wa akili zako,ni heri wabunge walio amua kujikalia nje kuliko waliobakia bungeni kuomba viwanda vya kutengeneza madera
 
Lupyeee

Lupyeee

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Messages
2,689
Likes
2,794
Points
280
Age
48
Lupyeee

Lupyeee

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2016
2,689 2,794 280
Wananchi tunahasira nao sana . 2020 tunavyeka wabunge wa ufipa wote.

Hatuwezi kuwa na wabunge ambao kazi yao ni kunywa chai kwenye Viwanja Vya bunge
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
65,252
Likes
28,169
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
65,252 28,169 280
Hawa wa ndiyooo kila kukicha majimboni kwao kupo vzuri?
Tafakari kabla hujapost kitu.!
Hawezi kutafakari chochote maana huo ndio mwisho wa uwezo wake wa kufikiria
 

Forum statistics

Threads 1,237,964
Members 475,809
Posts 29,308,158