Mbowe na Lwakatare kulitikisa jiji la Arusha Jumamosi

Status
Not open for further replies.
Yaani ndo story inayozunguka sasa hiv hapa Arusha baada ya ujio wao kutangazwa jana kwenye mikutano ya kampeni. Hakika shughuli hapa jijini zitasimama kwa muda wa siku mbili yaani ijumaa na jumamosi.

Karibuni sana makamanda!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
CHADEMA sera zimewaisha mmebuni mbinu ya ku-take full advantage ya bwana Lwakatare?

Nyie majaa wasanii..!
 
Hatukushangai kwa kuwa kwako wewe,shujaa ni Mwigulu Nchemba,aliyechonga ile clip ya video.

Hebu jiulize swali moja tu jepesi,ni kwa nini dunia nzima hivi sasa,macho na masikio yao yote,yameelekezwa Afrika kusini?

Ni kwa sababu moja tu,shujaa wa nchi hiyo,yupo mahututi hospitalini.

Mimi na wewe tunajua kuwa ushujaa mkubwa alioupata mzee Mandela,ni kupigania haki ya weusi wa Afrika kusini,lakini kilichotokea,makaburu akina Vorster na Botha,wakambambikia kesi ya uhaini na ugaidi na wakszishawishi mahakama zao za makaburu na zikamfunga mzee wetu jela miaka 27,tokea mwaka 1964 hadi 1981.

Je kwa fikra zako za kimagamba magamba,Nelson Mandela alipotoka

Sasa alichofanyiwa Lwakatare na Mwigulu Nchemba na maCCM wenzake, kina tofauti gani na alichofanyiwa Mzee Mandela na akina Botha na makaburu wenzake??!!

Unamfananisha Mandela na mbumbu Lwakatare? Mkurugenzi wa Ulinzi anayeingia kwenye mtego wa kijinga wa kurekodiwa kirahisi vile. Si Gaidi lakini ana kesi ya kujibu.
 
Yaani ndo story inayozunguka sasa hiv hapa Arusha baada ya ujio wao kutangazwa jana kwenye mikutano ya kampeni. Hakika shughuli hapa jijini zitasimama kwa muda wa siku mbili yaani ijumaa na jumamosi.

Karibuni sana makamanda!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Ahsante sana mkuu Exaud Mamuya.
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA sera zimewaisha mmebuni mbinu ya ku-take full advantage ya bwana Lwakatare?

Nyie majaa wasanii..!

Mbona mmeanza kuogopa mapema???

mtoto umelilia wembe, chukua chezea sasa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
CHADEMA sera zimewaisha mmebuni mbinu ya ku-take full advantage ya bwana Lwakatare?

Nyie majaa wasanii..!

Kwaiyo Lwakatare sio Mwanachadema???

Mmeanza kuingia ubaridi eh??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Bonge la timing, utadhani chadema waliongea na hakimu, naona watu wameanza kukata tamaa

Kanyaga twende. Mwaka huu ccm ni vilio tu!!
 
Attachments

  • 20130608_161053.jpg
    20130608_161053.jpg
    692.1 KB · Views: 55
Nazan ni muda muafaka kwa wakaz wa hapa Arusha, kuuonyesha ulimwengu kuwa tuna imani na kamanda wetu lwakatare na daima tulikuwa nyuma yake katika kipind kigumu alichokuwanacho,. kiukwel mapokez yetu yataishanga bukoba na kuwapata changamoto kwan yatakuwa ni makubwa na yenye kusimua....! CHADEMA TUMAINI JIPYA...!
 
Jiji la Arusha linatarajiwa kuzizima siku ya Jumamosi wakati Mkiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe na Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Wilfred Lwakatare watakapohutubia wakazi wa jiji hilo.

Viongozi hao wanatarajiwa kuhitimisha kampeni za udiwani ambapo uchaguzi wake utafanyika Jumapili.

Taarifa zilizopatikana kutoka Arusha ni kwamba maelfu ya wafuasi wa Chadema wanatakiwa kwenda kuwalaki viongozi hao uwanja wa ndege siku ya Ijumaa.

Mapokezi hayo yanatarajiwa kushirikisha magari,pikipiki,baiskeli na watembea kwa miguu.

Mikutano ya Mbowe jijini Arusha imekuwa ikisababisha jiji kusimama kutokana na idadi kubwa ya wananchi kufunga shughuli zao kwenda mkutanoni.

Mpaka sasa tathmini inaonyesha Chadema itashinda kata zote kwa ushindi usiopungua asilimia 80%
Molemo, wadau wanasema vipi mbona Yuda amesahaulika?
 
Yaani ndo story inayozunguka sasa hiv hapa Arusha baada ya ujio wao kutangazwa jana kwenye mikutano ya kampeni. Hakika shughuli hapa jijini zitasimama kwa muda wa siku mbili yaani ijumaa na jumamosi.

Karibuni sana makamanda!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hivi nyie Pro-Chadema Arusha huwa amna kazi za kufanya kila siku nyie na maandamo ya Chadema tu, familia zenu mnaziendeshaje.
 
Hivi nyie Pro-Chadema Arusha huwa amna kazi za kufanya kila siku nyie na maandamo ya Chadema tu, familia zenu mnaziendeshaje.
Hivi wewe iliishia darasa la ngapi? huu ni mwaka wa pili nakusaidia kuhusu 'h'.

Mkuu Ritz nasikia boss wenu aka Savimbi anataka kuwatema baada ya CC kutompa ushirikiano njie members wa 7-FC itakuwaje.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom