Mwenyekiti wa chadema alikuja na msemo mpya wa kubadili gia angani kuelekea uchaguzi wa 2015.Nimejaribu kufikiria dhana ile je ni kukua kwa Demokrasia wanayopigani kila leo?
Hivi ukawa hapakua na watia nia wengine wenye uwezo wa kugombea urais mpaka kukaa kusikilizia CCM wamkate mtu ndio apatikane mgombea?hali ingekuaje asingekatwa lowasa?
Demokrasia inaanzia nyumbani ukijitosheleza unaweza pia kuwasambazia watu.Sioni maana ya kutowapa watu uhuru wa kugombea na kuamua kuweka mtu unaemtaka wewe alafu unajidai mfuasi wa utawala wa sheria.
CCM bado itabaki kuwa chama chenye hazina kubwa ya viongozi wa nchi hii kwa miaka mingi ijayo. na kubaki kuwa chama chenye mfumo unaoeleweka unaopelekea kupata viongozi wanaounda serekali makini.