Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Safari ya mchakato wa kupata katiba mpya ya Tanzania ulianza tangu mwaka 2010, wakati Rais wa wakati huo, Jakaya Kikwete alipoamua kuutangazia umma dhamira na nia ya serikali ya kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya,watu wanashangaa Mbowe anawezaje kumtisha rais.
 
Ma

Matapeli ndo yanataka katiba mpya kwa nguvu,
Wananchi wanataka maisha yao yawe vizuri tu, hayo mambo y katiba hayawahusu.
Kwani nao wanataka vyeo?
Hao wananchi wanaotaka maisha mazuri chini ya chama kilekile, mifumo ileile na katiba hii mbovu ya mwaka 1977 watasubiri sana tu. Nawaonea huruma Watanzania wenzangu ndio kwanza bei ya mafuta imepanda hadi 2500.
 
“Mnasema nimeanza vizuri naomba nipeni muda nisimamishe Nchi kiuchumi, tuite Wawekezaji uchumi upande, halafu tutazungumzia mengine, tutazungumzia Katiba Mpya, mikutano ya hadhara n.k, kwa sasa mikutano ipo ya ndani na Wabunge kwenye Majimbo yao pia wanafanya”——Rais Samia

Hamtaki mnalazimisha afuate anachosema Mbowe, kwa akili za kawaida rais afuate amri ya Mbowe kweli badala afuate wanachotaka watanzania.
Mzee wangu Mohamed Said sisi watanzania tunataka katiba moya
 
Tanzania ni nchi huru na inaongozwa na Utawala wa sheria (Rule of Law) Hakuna aliye juu ya sheria, watu wote wapo sawa mbele ya sheria, mtu yeyote akifanya kosa lolote la kijinai atachukuliwa hatua za kisheria bila kujali nafasi yake, rangi take au jinsia yake.
Mbowe anatuhumiwa kwa makosa ya Kigaidi yeye na genge lake, ni kinyume cha Utawala wa kisheria kuanza kumtetea Mtuhumiwa/watuhumiwa kabla hata hajafikishwa Mbele ya Mahakama.
Tanzania inaheshimu utawala wa sheria na lazima Mbowe atafikishwa mbele ya Mahakama kujibu tuhuma na bila shaka watapata nafasi ya kujitetea, kinacho fanywa hivi sasa na Viongozi wa chadema ni kujaribu ku "frustrate" mchakato wa kumshitaki Mbowe kwa tuhuma za ugaidi kwa kutumia vyombo vya habari vya kimataifa, wakiamini kuwa Vyombo vya ulinzi vya tz vitaogopa na kurudi nyuma, hilo ndio lengo la chadema hivi sasa. wanaitishia nyau serikali makini!!!
Naamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama havitoingia kwenye mtego wa chadema wanao fanya hivi sasa kamwe vyombo vyetu visitetereshwe wala wasiogope kufuata utawala wa sheria kwa kumhofia Mbowe au hata mtu mwengine.
Utawala wa sheria ni "Hakuna aliye juu ya sheria".
Mbowe hatuko juu ya sheria lazima ashitakiwe na kwa kufanya hivyo ndio kuheshimu na kufuata utawala wa sheria.
 
46 Reactions
Reply
Back
Top Bottom